Katiba; wananchi wanawaambia waatawala tunataka tuongozwe hivi, si watawala kuwaambia wananchi.
Katiba haitungwi na watawala wala si maelekezo ya serikali kwa wananchi.
Kaburungu na Rugaijamu
Kuna haja gani ya kujibizana na watu ambao mnajua wamekuja hapa makusudi kuwaondoa kwenye mjadala.
Daktari anaendelea kushusha nondo za ukuu wa katiba.
Naona jamaa wa Dar naye yuko sawasawa anassanasema CCM haiko katika misingi ya haki. Anasema kiuhalisia serikali tatu zimekuwepo siku zote.
Huyu Mzee hapa anapiga nondo. Anasema wananchi wameshirikishwa kinadharia. Anamshangaa Rais kwenda kutoa hotuba kupingana na maoni ya wananchi. Tena kwa kuelekeza. Mwananchi Solomon anakubaliana na Daktari Slaa kuwa katiba inapaswa kutokana na wananchi na kwamba hotuba ya Kikwete ilichanganya wananchi.
Maridhiano yatawezekana tu endapo Luna utashi wa kisiasa. CCM inalazimisha mambo yake kuwekwa kwenye katiba.
Kwa suala la katiba yuko tayari hata kuamushwa usiku wa manane kuzungumzia masuala ya watu.
Muda umekuwa mchache mno.Dr Slaa anaweza kuzungumza hata masaa matano na watu wakamsikiliza bila kuchoka.Rais wa Watu.
Leo saa 3:45 usiku Dr Slaa atakuwa Star Tv na Dotto Bulendu.........
Stay tuned!!
Mleta pumba mashuhuri yuko uingereza kwa kipindi hiki.Asilete pumba zake hapa
Katibu Mkuu atatumia fursa hiyo kuweka sawa masuala mbalimbali na kumbukumbu sahihi juu ya ukuu wa Katiba na umuhimu wake kwa maendelo na maisha ya watu.
Let's all be tuned.
Asilete pumba zake hapa
Mleta pumba mashuhuri yuko uingereza kwa kipindi hiki.
...Katiba; wananchi wanawaambia waatawala tunataka tuongozwe hivi, si watawala kuwaambia wananchi.
Katiba haitungwi na watawala wala si maelekezo ya serikali kwa wananchi.
Dr Slaa hana tena mvuto wa kisiasa kwa Watanzania; Dr Slaa kwa sasa hata udiwani akigombea kura hapati.
Mtu wa aina hiyo ambae Watanzania hawana habari nae unadhani atakuwa na umuhimu gani kwenye jamii?
Habari ya mjini kwa sasa ni Lissu tu huko CHADEMA.
Dr Slaa hana tena mvuto wa kisiasa kwa Watanzania; Dr Slaa kwa sasa hata udiwani akigombea kura hapati.
Mtu wa aina hiyo ambae Watanzania hawana habari nae unadhani atakuwa na umuhimu gani kwenye jamii?
Habari ya mjini kwa sasa ni Lissu tu huko CHADEMA.