IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Wewe Ndo Unahitaji Mchango wa Ada urudi Chuo kama ulimaliza au kama hujafika angalau upate Bachelor.......maana waongea Pumba tu siku hiziwakachangiage haka kazee magwanda mengine kanatia aibu
Hapo umefikiriaaa kwa akili yako yote,ukapata point ya kuandika kwa dhana kuwa hapo umeichafua cdm na dr slaa! Unaonesha ulivyo karoti tu! Kama chama chako kilivyo,wooote pale karoti tupu!wakachangiage haka kazee magwanda mengine kanatia aibu
Yule mzee ujuaji umemzidi ana temper zisizo na msingi na anataka hoja zake zionekane zimeshinda.bora awe anaongea mwenyewe mawazo yake tumsikilize tu.Nadhan Makwaiya hana ufahamu wa communication na facilitation skills. Anataka tumsikilize yeye. Slaa anamzidi nguvu. Infact kwa maelezo yake ccm imeishiwa hata propaganda
Makwaia:
Inakuwaje cdm ipate fedha toka conservative, wakati inaamini katika demokrasia?...wakati wana uhakika kuwa chama hicho ni cha kibeberu?
Makwaiya: Nini mtazamo wako kuhusiana na sera ya ubinasfishaji? Dhana ya kujitegemea iko wapi wakati unafadhiliwa na Conservative? Una sera gani za kujitegemea?
Dr. Slaa: Sera za conservative ndizo hzo znzohudumia watu wa chini huko uk(mtu asiye na kipato anapewa posho) kitu ambacho hata sisi tunakisimamia. Kuna mambo ya msingi ambayo tunakubaliana na consvtve kama transparency, na uadilifu. Dhana ya ubwanyenye imebadilika sana.
Whatever that it could be!...who cares?...lucky you kama uliona live!Haikuwa LIVE nadhani Mtoa mada alikuwa anatizama Mechi ya Manchester United anavyomnyanyasa Schalke 04 ndio Live.
Channel Ten zao Recorded tu.

Naona slaa bado ana frastrulation za Uchaguzi! Anasema eti aliibiwa kura! Mpuuzi huyu ana ishushia heshima Phd yake ya ukweli! Hopeless Dr Slaa!

Makwaia ni hovyo sana, yeye hufikiri ni zaidi ya wengine siku zote na amekuwa akivuruga vipindi vyake kwa kuhodhi mada badala ya kuwaachia aliowaalika
Nilihudhuria Mkutano wake pale Mabibo karibu na Benjamini Mkapa Export Processing Zones Authority,nilimsikia bila kumung'unya maneno kwamba yeye ndiye Aliyeshinda Urais mwaka 2010 na ana ushahidi yabisi ku-establish his claim,beyond reasonable doubt!!
mzee mbishi lakini dr slaa ametumia diplomasia ya hali ya juu kumtuliza asiharibu hadi mzee kijasho na temper juu! dr hawamwezi labda aje larry king![
/QUOTE]

Acheni ushabiki hapa,Slaa mwenyewe kachemka maake inaonyesha hamjui vizuri Makwaia wa Kuhenga.Sio siri nimefatilia issue nzima, Slaa nadhani hatorudi tena kuhojiwa na hiki kibabu cha 'hard Talk' maake jinsi kilivyompeleka harafu mwishoni kinampaka mafuta kwa mgongo wa chupa balaa.
Kiboko ya Makwaia ni Mchechu Md wa NHC maake anapokuwa naye huwa anatangulia hatua mbili mbele yake,kitu ambacho Slaa hakuwa nacho.
By the way,it was very interesting to hear and see hawa 'vikongwe' wanaojidai wanamuenzi Mwl.

H
v **** kama wewe unapata wapi Ujasiri wa kumuita Slaa mpuuzi,Wewe capacity ya Ubongo zidisha mara 100 ndiyo unapata robo tu ya Capacity ya Brain ya Slaa,Where on earth do u get the guts to insult a man as intelligent and as patriotic as Wilbroad? From the mouth of which river?

Slaa anayo haki ya kurudia hayo maneno mara nyingi kuliko hata kasuku kwa sababu anaweza kuyathibitisha!

Nilihudhuria Mkutano wake pale Mabibo karibu na Benjamini Mkapa Export Processing Zones Authority,nilimsikia bila kumung'unya maneno kwamba yeye ndiye Aliyeshinda Urais mwaka 2010 na ana ushahidi yabisi ku-establish his claim,beyond reasonable doubt!!

Badala ya Kumbeza na Kumtusi imetupasa kumshukuru na Kumheshimu kwa sbb Ulimwenguni na hasa Afrika ni VIGUMU KUMPATA MTU AMBAYE ANGETUMIA HEKIMA YA SLAA KUEPUSHA MACHAFUKO!

Had he been Selfish,he could have plunged ths country into War,na Mori ya watu wengi wakati ule ilikuwa juu sana,angebonyeza tu button pangechimbika!!!