Dr. Slaa lau angejua... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa lau angejua...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kanyafu Nkanwa, Nov 6, 2010.

 1. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa kugombea Urais, taaisisi ambayo ni ngumu sana kwa mfumo uliopo nchini humu. Haikuweza kufikiriwa kwamba mtu kama Slaa angeingia mkenge wa kuwania Urais ambao kamwe hasingeweza kuupata. Nasema kwamba asingeweza kuupata kwa sababu ni dhahili kuwa maeneo mengi ya nchii hii yamefunikwa sana na CCM kwa namna zote.

  Ilikuwa ni jambo la maana sana kwa Chadema na vyama vingine kujaribu kuwaelimisha kwanza watanzania maana halisi ya vyama vingi. Watu wengi nchini mtu akiwa na hela huwa ni 'hero' na kitendo cha Slaa kutumia silaha ya ufisadi kwa namna yoyote ile haikuweza kusaidia chochote.

  Tunatambua kuwa ni kweli kulikuwa na matatizo ya kupiga na kuhesabu kura. Pia tunatambua kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa hali ya juu sana kutokana na woga wa CCM kushindwa. Lakini ukweli unabakia pale pale kuwa kama ambavyo Slaa anadai, kurudiwa kwa kuhesabu sana sana angeshangaa sana, maana uwezekano wa CCM kupata zaidi ulikuwa ni mkubwa mno.

  Tusidanyanyike kwa propaganda za uwongo wakati sisi tuna akili nyingi sana. Ukweli unabakia kuwa Slaa kapigwa chini kabisa. Suala la kuwa watu wachache ndiyo waliopiga kura linachagisha uwezekano kuwa kama wangepiga wote basi CCM ingeweza kupata asilimia kubwa zaidi na si kwa Slaa kushinda.

  nafahamu kesho Slaa ataongea. Aongee chochote, bado CCM ndiyo bingwa na ataendelea kuwa bingwa milele kama tukiendelea kuwa wabinafsi kama tulivyoonyesha mwaka huu.
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungeongelea mlivyooiba kura badala ya kuleta upuuzi usio na miguu wala kichwa
   
 3. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hali halisi ndiyo hiyo. Hakuna wizi wa kura wala chochote. Hakuna mtu anaweza kuiba kura jimbo kama la Hai ambalo ni ngome ya Chadema. Yale matokeo ni real
   
 4. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  huna la maana hujui hata wajibu wa kuto elimu ya demokrasia ni wa nani?how old are u??kama ulishindwa shule kuna elimu kwa walioikosa (memkwa) nahisi itakupa upeo wakutambua hata mambo madogo madogo!!kwako wewe mtu mwenye hela ni heo,angalia utaolewa mjini kuna wengi tu wenye nazo
   
 5. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ongela la maana basi. Hujaongea kitu hapa zaidi ya kujitambulisha ni mtu wa gani wewe. Umeolewa. Nje ya ndoa elezea hali ilivyo
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kweli kweli kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 7. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kanyafu.siku zote uongo haukai nyumba moja na ukweli.hata ufanye nini ukweli haufutiki kuwa Dr.Slaa alishinda uchaguzi huu.unajitahidi kuweka mambo ya upuuuuzi upuuuuzi wa kinafiki utadhani utakumbukwa madarakani na huyo Mkwere mwenzio,but huna chako.wewe ni jamii ya wale bendera fuata upepo.jamii hiyo haina chake tena kwa watanzania wa sasa.,we are a movement of positive thinking and attitude,pole sana mnafiki!
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kubalini tu mzee slaa this time ameingizwa mjini aisee na wajanja wenzake wengine wa CHADEMA
   
 9. B

  Balozi mullar Member

  #9
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umesema kweli kaka
   
 10. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Umetumwa na nani kuandika upuuzi huu?
   
 11. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ameingizwaje mjiini? unajaribu kuwafarakanisha Chadema lakini hutafanikiwa. Kwa Dr. Slaa urais ni wajibu siyo starehe kama anavyofanya mkwere mwenzio. Mkwere anagombea urais hajui kwanini nchi yake ni maskini huku anasema elimu bure haiwezekani na upande mwingine wageni wanaondoka na madini huku wakituachia mashimo
   
 12. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Umeelewa ehhe! Waambie na wengine
   
 13. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kwa kilugha NENO KANYAFU ni ushuzi uliooza
  NKanwa ni mdomo unaotoa arufu kali ukiunganisha.
  Jamaa wamponda kaporosha umaarufu wa rais wako.81%-61% uone aibu hapo
   
 14. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyo unayejipendekeza kwake amekiri leo mbele ya umma wa watanzania na jamii ya kimataifa kuwa upinzani ulikuwa mkali mpaka ikabidi kutumia "mbinu/nguvu za ziada"
   
 15. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #15
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kugombea Urais Slaa si lazima kwamba aingie Ikulu ni sehemu ya safari ndefu ya mageuzi na yeye baada ya kutoa mchango wake bungeni ametoa kwenye kampeni za Urais. Hii tafsiri potofu kwamba Slaa au upinzani umeshidwa sijui kwa nini watu wa JF wanapenda kuitumia. Ni makosa kutafsiri matokeo kwa mazingira ya ‘win-loose.’ Martin Luther King, Jr wakati anapigania haki hakutegemea angeingia Ikulu lakini alijua kwamba mabadiliko yangetokea na vizazi vijavyo vingefaidika. Unaposhiriki kwenye mapambano ya mabadiliko si lazima ufaidi results wewe wakati mwingine ni vizavi vijavyo. Kwa kiasi ambacho watanzania wamepata mwamko mpya wa mageuzi na ambavyo CCM watabadilika kurekebisha makosa yao yanayowapunguzia umaarufu ni hatua kubwa. Kama CCM wakibadilika na kushughulikua mambo ambayo upinzani unayapigania hiyo itakuwa inatosha na hakutakuwa na haja ya upinzani kuingia Ikulu. Nadhani bado unahitaju civic education sababu hoja yako ni ya kishabiki tu
   
 16. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #16
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwetu sii "Kanyafu Nkanwa" ni mtu anayechakachua kwenye kulenga tundu la choo
  Kanyafu = "kuchakachua"
  Nkanwa = "Choo"

  Sorry... this meaning is real, not a joke!!
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Bila shaka wewe umeolewa na CCM na ni lazma utetee upuuzi wao, huna hoja wala akili kichwani mwako bora ukalale tu au ufe kabisa coz unaongea pumba.
  Shut up your mouth please.
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Tatizo lenu upeo ni mdogo sana na hamuwezi hata kufikiri kwa akili, akili zenu ni uozo mtupu ila si kosa lenu ni kosa la naniiiiiiiiiiiiiiiiiii
  ........................................
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ulitaka CHADEMA isisimamishe mgombea urais au vipi?
   
 20. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Wasokile wengi ni watu wenye mawazo endelevu lakini wewe nadhani ni mdogo wa Mwakipesile , watu wa kujipemdekeza na ndio maana njaa inawaaua!! Kanyafu unawatia aibu ndugu zako wa Mbeya walioonyesha msimamo thabiti sio kujikombakomba!
   
Loading...