Elections 2010 Dr. Slaa lau angejua...

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa kugombea Urais, taaisisi ambayo ni ngumu sana kwa mfumo uliopo nchini humu. Haikuweza kufikiriwa kwamba mtu kama Slaa angeingia mkenge wa kuwania Urais ambao kamwe hasingeweza kuupata. Nasema kwamba asingeweza kuupata kwa sababu ni dhahili kuwa maeneo mengi ya nchii hii yamefunikwa sana na CCM kwa namna zote.

Ilikuwa ni jambo la maana sana kwa Chadema na vyama vingine kujaribu kuwaelimisha kwanza watanzania maana halisi ya vyama vingi. Watu wengi nchini mtu akiwa na hela huwa ni 'hero' na kitendo cha Slaa kutumia silaha ya ufisadi kwa namna yoyote ile haikuweza kusaidia chochote.

Tunatambua kuwa ni kweli kulikuwa na matatizo ya kupiga na kuhesabu kura. Pia tunatambua kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa hali ya juu sana kutokana na woga wa CCM kushindwa. Lakini ukweli unabakia pale pale kuwa kama ambavyo Slaa anadai, kurudiwa kwa kuhesabu sana sana angeshangaa sana, maana uwezekano wa CCM kupata zaidi ulikuwa ni mkubwa mno.

Tusidanyanyike kwa propaganda za uwongo wakati sisi tuna akili nyingi sana. Ukweli unabakia kuwa Slaa kapigwa chini kabisa. Suala la kuwa watu wachache ndiyo waliopiga kura linachagisha uwezekano kuwa kama wangepiga wote basi CCM ingeweza kupata asilimia kubwa zaidi na si kwa Slaa kushinda.

nafahamu kesho Slaa ataongea. Aongee chochote, bado CCM ndiyo bingwa na ataendelea kuwa bingwa milele kama tukiendelea kuwa wabinafsi kama tulivyoonyesha mwaka huu.
 
Ungeongelea mlivyooiba kura badala ya kuleta upuuzi usio na miguu wala kichwa

Hali halisi ndiyo hiyo. Hakuna wizi wa kura wala chochote. Hakuna mtu anaweza kuiba kura jimbo kama la Hai ambalo ni ngome ya Chadema. Yale matokeo ni real
 
kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa kugombea urais, taaisisi ambayo ni ngumu sana kwa mfumo uliopo nchini humu. Haikuweza kufikiriwa kwamba mtu kama slaa angeingia mkenge wa kuwania urais ambao kamwe hasingeweza kuupata. Nasema kwamba asingeweza kuupata kwa sababu ni dhahili kuwa maeneo mengi ya nchii hii yamefunikwa sana na ccm kwa namna zote.

Ilikuwa ni jambo la maana sana kwa chadema na vyama vingine kujaribu kuwaelimisha kwanza watanzania maana halisi ya vyama vingi. Watu wengi nchini mtu akiwa na hela huwa ni 'hero' na kitendo cha slaa kutumia silaha ya ufisadi kwa namna yoyote ile haikuweza kusaidia chochote.

Tunatambua kuwa ni kweli kulikuwa na matatizo ya kupiga na kuhesabu kura. Pia tunatambua kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa hali ya juu sana kutokana na woga wa ccm kushindwa. Lakini ukweli unabakia pale pale kuwa kama ambavyo slaa anadai, kurudiwa kwa kuhesabu sana sana angeshangaa sana, maana uwezekano wa ccm kupata zaidi ulikuwa ni mkubwa mno.

Tusidanyanyike kwa propaganda za uwongo wakati sisi tuna akili nyingi sana. Ukweli unabakia kuwa slaa kapigwa chini kabisa. Suala la kuwa watu wachache ndiyo waliopiga kura linachagisha uwezekano kuwa kama wangepiga wote basi ccm ingeweza kupata asilimia kubwa zaidi na si kwa slaa kushinda.

Nafahamu kesho slaa ataongea. Aongee chochote, bado ccm ndiyo bingwa na ataendelea kuwa bingwa milele kama tukiendelea kuwa wabinafsi kama tulivyoonyesha mwaka huu.

huna la maana hujui hata wajibu wa kuto elimu ya demokrasia ni wa nani?how old are u??kama ulishindwa shule kuna elimu kwa walioikosa (memkwa) nahisi itakupa upeo wakutambua hata mambo madogo madogo!!kwako wewe mtu mwenye hela ni heo,angalia utaolewa mjini kuna wengi tu wenye nazo
 
Ongela la maana basi. Hujaongea kitu hapa zaidi ya kujitambulisha ni mtu wa gani wewe. Umeolewa. Nje ya ndoa elezea hali ilivyo
 
Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa kugombea Urais, taaisisi ambayo ni ngumu sana kwa mfumo uliopo nchini humu. Haikuweza kufikiriwa kwamba mtu kama Slaa angeingia mkenge wa kuwania Urais ambao kamwe hasingeweza kuupata. Nasema kwamba asingeweza kuupata kwa sababu ni dhahili kuwa maeneo mengi ya nchii hii yamefunikwa sana na CCM kwa namna zote.

Ilikuwa ni jambo la maana sana kwa Chadema na vyama vingine kujaribu kuwaelimisha kwanza watanzania maana halisi ya vyama vingi. Watu wengi nchini mtu akiwa na hela huwa ni 'hero' na kitendo cha Slaa kutumia silaha ya ufisadi kwa namna yoyote ile haikuweza kusaidia chochote.

Tunatambua kuwa ni kweli kulikuwa na matatizo ya kupiga na kuhesabu kura. Pia tunatambua kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa hali ya juu sana kutokana na woga wa CCM kushindwa. Lakini ukweli unabakia pale pale kuwa kama ambavyo Slaa anadai, kurudiwa kwa kuhesabu sana sana angeshangaa sana, maana uwezekano wa CCM kupata zaidi ulikuwa ni mkubwa mno.

Tusidanyanyike kwa propaganda za uwongo wakati sisi tuna akili nyingi sana. Ukweli unabakia kuwa Slaa kapigwa chini kabisa. Suala la kuwa watu wachache ndiyo waliopiga kura linachagisha uwezekano kuwa kama wangepiga wote basi CCM ingeweza kupata asilimia kubwa zaidi na si kwa Slaa kushinda.

nafahamu kesho Slaa ataongea. Aongee chochote, bado CCM ndiyo bingwa na ataendelea kuwa bingwa milele kama tukiendelea kuwa wabinafsi kama tulivyoonyesha mwaka huu.

Ni kweli kweli kweli kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kanyafu.siku zote uongo haukai nyumba moja na ukweli.hata ufanye nini ukweli haufutiki kuwa Dr.Slaa alishinda uchaguzi huu.unajitahidi kuweka mambo ya upuuuuzi upuuuuzi wa kinafiki utadhani utakumbukwa madarakani na huyo Mkwere mwenzio,but huna chako.wewe ni jamii ya wale bendera fuata upepo.jamii hiyo haina chake tena kwa watanzania wa sasa.,we are a movement of positive thinking and attitude,pole sana mnafiki!
 
Kubalini tu mzee slaa this time ameingizwa mjini aisee na wajanja wenzake wengine wa CHADEMA
 
Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa kugombea Urais, taaisisi ambayo
ni ngumu sana kwa mfumo
uliopo nchini humu. Haikuweza kufikiriwa kwamba mtu kama Slaa angeingia mkenge wa kuwania Urais ambao kamwe hasingeweza kuupata. Nasema kwamba asingeweza kuupata kwa sababu ni dhahili kuwa maeneo mengi ya nchii hii yamefunikwa sana na CCM kwa namna zote.

Ilikuwa ni jambo la maana sana kwa Chadema na vyama vingine kujaribu kuwaelimisha kwanza watanzania maana halisi ya vyama vingi. Watu wengi nchini mtu akiwa na hela huwa ni 'hero' na kitendo cha Slaa kutumia silaha ya ufisadi kwa namna yoyote ile haikuweza kusaidia chochote.

Tunatambua kuwa ni kweli kulikuwa na matatizo ya kupiga na kuhesabu kura. Pia tunatambua kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa hali ya juu sana kutokana na woga wa CCM kushindwa. Lakini ukweli unabakia pale pale kuwa kama ambavyo Slaa anadai, kurudiwa kwa kuhesabu sana sana angeshangaa sana, maana uwezekano wa CCM kupata zaidi ulikuwa ni mkubwa mno.

Tusidanyanyike kwa propaganda za uwongo wakati sisi tuna akili nyingi sana. Ukweli unabakia kuwa Slaa kapigwa chini kabisa. Suala la kuwa watu wachache ndiyo waliopiga kura linachagisha uwezekano kuwa kama wangepiga wote basi CCM ingeweza kupata asilimia kubwa zaidi na si kwa Slaa kushinda.

nafahamu kesho Slaa ataongea. Aongee chochote, bado CCM ndiyo bingwa na ataendelea kuwa bingwa milele kama tukiendelea kuwa wabinafsi kama tulivyoonyesha mwaka huu.

umesema kweli kaka
 
Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa kugombea Urais, taaisisi ambayo ni ngumu sana kwa mfumo uliopo nchini humu. Haikuweza kufikiriwa kwamba mtu kama Slaa angeingia mkenge wa kuwania Urais ambao kamwe hasingeweza kuupata. Nasema kwamba asingeweza kuupata kwa sababu ni dhahili kuwa maeneo mengi ya nchii hii yamefunikwa sana na CCM kwa namna zote.

Ilikuwa ni jambo la maana sana kwa Chadema na vyama vingine kujaribu kuwaelimisha kwanza watanzania maana halisi ya vyama vingi. Watu wengi nchini mtu akiwa na hela huwa ni 'hero' na kitendo cha Slaa kutumia silaha ya ufisadi kwa namna yoyote ile haikuweza kusaidia chochote.

Tunatambua kuwa ni kweli kulikuwa na matatizo ya kupiga na kuhesabu kura. Pia tunatambua kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa hali ya juu sana kutokana na woga wa CCM kushindwa. Lakini ukweli unabakia pale pale kuwa kama ambavyo Slaa anadai, kurudiwa kwa kuhesabu sana sana angeshangaa sana, maana uwezekano wa CCM kupata zaidi ulikuwa ni mkubwa mno.

Tusidanyanyike kwa propaganda za uwongo wakati sisi tuna akili nyingi sana. Ukweli unabakia kuwa Slaa kapigwa chini kabisa. Suala la kuwa watu wachache ndiyo waliopiga kura linachagisha uwezekano kuwa kama wangepiga wote basi CCM ingeweza kupata asilimia kubwa zaidi na si kwa Slaa kushinda.

nafahamu kesho Slaa ataongea. Aongee chochote, bado CCM ndiyo bingwa na ataendelea kuwa bingwa milele kama tukiendelea kuwa wabinafsi kama tulivyoonyesha mwaka huu.

Umetumwa na nani kuandika upuuzi huu?
 
Ameingizwaje mjiini? unajaribu kuwafarakanisha Chadema lakini hutafanikiwa. Kwa Dr. Slaa urais ni wajibu siyo starehe kama anavyofanya mkwere mwenzio. Mkwere anagombea urais hajui kwanini nchi yake ni maskini huku anasema elimu bure haiwezekani na upande mwingine wageni wanaondoka na madini huku wakituachia mashimo
 
Kwa kilugha NENO KANYAFU ni ushuzi uliooza
NKanwa ni mdomo unaotoa arufu kali ukiunganisha.
Jamaa wamponda kaporosha umaarufu wa rais wako.81%-61% uone aibu hapo
 
Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa kugombea Urais, taaisisi ambayo ni ngumu sana kwa mfumo uliopo nchini humu. Haikuweza kufikiriwa kwamba mtu kama Slaa angeingia mkenge wa kuwania Urais ambao kamwe hasingeweza kuupata. Nasema kwamba asingeweza kuupata kwa sababu ni dhahili kuwa maeneo mengi ya nchii hii yamefunikwa sana na CCM kwa namna zote.

Ilikuwa ni jambo la maana sana kwa Chadema na vyama vingine kujaribu kuwaelimisha kwanza watanzania maana halisi ya vyama vingi. Watu wengi nchini mtu akiwa na hela huwa ni 'hero' na kitendo cha Slaa kutumia silaha ya ufisadi kwa namna yoyote ile haikuweza kusaidia chochote.

Tunatambua kuwa ni kweli kulikuwa na matatizo ya kupiga na kuhesabu kura. Pia tunatambua kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa hali ya juu sana kutokana na woga wa CCM kushindwa. Lakini ukweli unabakia pale pale kuwa kama ambavyo Slaa anadai, kurudiwa kwa kuhesabu sana sana angeshangaa sana, maana uwezekano wa CCM kupata zaidi ulikuwa ni mkubwa mno.

Tusidanyanyike kwa propaganda za uwongo wakati sisi tuna akili nyingi sana. Ukweli unabakia kuwa Slaa kapigwa chini kabisa. Suala la kuwa watu wachache ndiyo waliopiga kura linachagisha uwezekano kuwa kama wangepiga wote basi CCM ingeweza kupata asilimia kubwa zaidi na si kwa Slaa kushinda.

nafahamu kesho Slaa ataongea. Aongee chochote, bado CCM ndiyo bingwa na ataendelea kuwa bingwa milele kama tukiendelea kuwa wabinafsi kama tulivyoonyesha mwaka huu.

Huyo unayejipendekeza kwake amekiri leo mbele ya umma wa watanzania na jamii ya kimataifa kuwa upinzani ulikuwa mkali mpaka ikabidi kutumia "mbinu/nguvu za ziada"
 
Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa kugombea Urais, taaisisi ambayo ni ngumu sana kwa mfumo uliopo nchini humu. Haikuweza kufikiriwa kwamba mtu kama Slaa angeingia mkenge wa kuwania Urais ambao kamwe hasingeweza kuupata. Nasema kwamba asingeweza kuupata kwa sababu ni dhahili kuwa maeneo mengi ya nchii hii yamefunikwa sana na CCM kwa namna zote.
.

Kugombea Urais Slaa si lazima kwamba aingie Ikulu ni sehemu ya safari ndefu ya mageuzi na yeye baada ya kutoa mchango wake bungeni ametoa kwenye kampeni za Urais. Hii tafsiri potofu kwamba Slaa au upinzani umeshidwa sijui kwa nini watu wa JF wanapenda kuitumia. Ni makosa kutafsiri matokeo kwa mazingira ya ‘win-loose.’ Martin Luther King, Jr wakati anapigania haki hakutegemea angeingia Ikulu lakini alijua kwamba mabadiliko yangetokea na vizazi vijavyo vingefaidika. Unaposhiriki kwenye mapambano ya mabadiliko si lazima ufaidi results wewe wakati mwingine ni vizavi vijavyo. Kwa kiasi ambacho watanzania wamepata mwamko mpya wa mageuzi na ambavyo CCM watabadilika kurekebisha makosa yao yanayowapunguzia umaarufu ni hatua kubwa. Kama CCM wakibadilika na kushughulikua mambo ambayo upinzani unayapigania hiyo itakuwa inatosha na hakutakuwa na haja ya upinzani kuingia Ikulu. Nadhani bado unahitaju civic education sababu hoja yako ni ya kishabiki tu
 
Kwa kilugha NENO KANYAFU ni ushuzi uliooza
NKanwa ni mdomo unaotoa arufu kali ukiunganisha.
Jamaa wamponda kaporosha umaarufu wa rais wako.81%-61% uone aibu hapo

Kwetu sii "Kanyafu Nkanwa" ni mtu anayechakachua kwenye kulenga tundu la choo
Kanyafu = "kuchakachua"
Nkanwa = "Choo"

Sorry... this meaning is real, not a joke!!
 
Bila shaka wewe umeolewa na CCM na ni lazma utetee upuuzi wao, huna hoja wala akili kichwani mwako bora ukalale tu au ufe kabisa coz unaongea pumba.
Shut up your mouth please.
 
Tatizo lenu upeo ni mdogo sana na hamuwezi hata kufikiri kwa akili, akili zenu ni uozo mtupu ila si kosa lenu ni kosa la naniiiiiiiiiiiiiiiiiii
........................................
 
Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa kugombea Urais, taaisisi ambayo ni ngumu sana kwa mfumo uliopo nchini humu. Haikuweza kufikiriwa kwamba mtu kama Slaa angeingia mkenge wa kuwania Urais ambao kamwe hasingeweza kuupata. Nasema kwamba asingeweza kuupata kwa sababu ni dhahili kuwa maeneo mengi ya nchii hii yamefunikwa sana na CCM kwa namna zote.

Ilikuwa ni jambo la maana sana kwa Chadema na vyama vingine kujaribu kuwaelimisha kwanza watanzania maana halisi ya vyama vingi. Watu wengi nchini mtu akiwa na hela huwa ni 'hero' na kitendo cha Slaa kutumia silaha ya ufisadi kwa namna yoyote ile haikuweza kusaidia chochote.

Tunatambua kuwa ni kweli kulikuwa na matatizo ya kupiga na kuhesabu kura. Pia tunatambua kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa hali ya juu sana kutokana na woga wa CCM kushindwa. Lakini ukweli unabakia pale pale kuwa kama ambavyo Slaa anadai, kurudiwa kwa kuhesabu sana sana angeshangaa sana, maana uwezekano wa CCM kupata zaidi ulikuwa ni mkubwa mno.

Tusidanyanyike kwa propaganda za uwongo wakati sisi tuna akili nyingi sana. Ukweli unabakia kuwa Slaa kapigwa chini kabisa. Suala la kuwa watu wachache ndiyo waliopiga kura linachagisha uwezekano kuwa kama wangepiga wote basi CCM ingeweza kupata asilimia kubwa zaidi na si kwa Slaa kushinda.

nafahamu kesho Slaa ataongea. Aongee chochote, bado CCM ndiyo bingwa na ataendelea kuwa bingwa milele kama tukiendelea kuwa wabinafsi kama tulivyoonyesha mwaka huu.

Wasokile wengi ni watu wenye mawazo endelevu lakini wewe nadhani ni mdogo wa Mwakipesile , watu wa kujipemdekeza na ndio maana njaa inawaaua!! Kanyafu unawatia aibu ndugu zako wa Mbeya walioonyesha msimamo thabiti sio kujikombakomba!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom