Dr. Slaa kuunguruma Kilosa leo.

kaburungu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
3,592
6,624
Wakuu heshima mbele
Lile vuguvugu la mabadiliko almaarufu M4C, leo hii limetinga ndani ya wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. Miongoni mwa wanaotarajiwa kuzungumza ni Dr Slaa pamoja na viongozi wa CDM wilaya.

Updates...
Kwa saša wananchi wanaendelea kumiminika katika viwanja vya Kilosa town primary school.

Mkiona updates zinachelewa ni kutokana na mtandao kuwa chini sana.

Nawasilisha.
 
Kwani morogoro kuna nini? Wiki ya Pili hii Docta yuko uko, kuna nini morogoro?
 
Morogoro ni moja ya mkoa ambao umekuwa ni ngome kubwa ya CCM kwa miaka mingi sana. Licha ya kupata wapinzani wazuri wenye vision nzuri za kimaendeleo (Mfano Prof. Mlambiti-MCHUMI), ila Kutokana na Jiografia ya mkoa na shughuli zake za kiuchumi, wakazi wake wamekuwa wakipotoshwa sana na hivyo kuhofia upinzani. hivyo basi, kufika kwa M4C kunaweza wafumbua macho na kujua nini cha kufanya ili kujiletea ukombozi.
 
Jitahidi kuendelea kutuupdate.
 
Kwani morogoro kuna nini? Wiki ya Pili hii Docta yuko uko, kuna nini morogoro?

Mkuu, Mikoa hiyo ndiyo ngome za CCM na M4C inaenda kata kwa kata kwa hiyo unaweza kujua jimbo moja tu unakuta lina kata zaidi ya 30...je kwa mkoa mzima
 
Lakini Crashwise hizi mikutano mbona zimekuwa mingi sana, Mwezi wa Tano it was Lindi and Mtwara, Heche alikuwa Ifakara last week lakini saa hizi kuna taarifa kwamba yuko Tarime, yule katibu wake sijui mwenyekiti msaidizi naye amesisika pande za mbeya last week, kuna post nimeona hapa inasema M4C imevuna watu newala, kuna gazeti nimesoma jana linasema Operasheni vua gamba vaa gwanda imefanya nini sijui ngorongoro, Lema alikuwa London, mara ghafla nikamuona kwenye Luninga serena hotel Dar, Juzi house Girl wangu kachelewa kupika eti alikuwa kwenye mkutano wa CHADEMA tabata, Kuna post imo humu inasema Mbowe anakwenda USA, Tena ingine inamwenyekiti wa CHADEMA UK anaongea na nani sijui? ni nini hasa tatizo?
 
Updates....
Dr Slaa amewasili ila bado hajapanda kwa juukwaa..

Mkurungenzi wa usalama anamkaribisha katibu wa CDM wilaya kufungua mkutano..
 
Wakuu heshima mbele
Lile vuguvugu la mabadiliko almaarufu M4C, leo hii limetinga ndani ya wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. Miongoni mwa wanaotarajiwa kuzungumza ni Dr Slaa pamoja na viongozi wa CDM wilaya.

Updates...
Kwa saša wananchi wanaendelea kumiminika katika viwanja vya Kilosa town primary school.

Mkiona updates zinachelewa ni kutokana na mtandao kuwa chini sana.

Nawasilisha.

Aisee mnapa ulinzi wa kutosha?hujuma zimeanza kujitokeza ,tunaamini ulinzi mta mpa Dr!looking forward for updates!
 
Morogoro ni moja ya mkoa ambao umekuwa ni ngome kubwa ya CCM kwa miaka mingi sana. Licha ya kupata wapinzani wazuri wenye vision nzuri za kimaendeleo (Mfano Prof. Mlambiti-MCHUMI), ila Kutokana na Jiografia ya mkoa na shughuli zake za kiuchumi, wakazi wake wamekuwa wakipotoshwa sana na hivyo kuhofia upinzani. hivyo basi, kufika kwa M4C kunaweza wafumbua macho na kujua nini cha kufanya ili kujiletea ukombozi.
Mkuu Lyimo kwa kuongezea huu mkoa wananchi wake wengi wanawakumbatia wahindi na waarabu kama viongozi wao . mfano yule gaba choli mwenye mabasi ya Dar moro huwa anatoa rushwa ya usafiri wa bure wakati wa uchaguzi kwahiyo slaa anawapa somo jinsi hao maga bacholi wanavyowaibia
 
Aisee mnapa ulinzi wa kutosha?hujuma zimeanza kujitokeza ,tunaamini ulinzi mta mpa Dr!looking forward for updates!

Gilo
Mkuu shaka ondoa ulinzi upo wa kutosha..na kwa sasa dua ya kiislamu inasomwa..
Huwa tunaanza na Mungu na kumaliza na....
 
Last edited by a moderator:
Lakini Crashwise hizi mikutano mbona zimekuwa mingi sana, Mwezi wa Tano it was Lindi and Mtwara, Heche alikuwa Ifakara last week lakini saa hizi kuna taarifa kwamba yuko Tarime, yule katibu wake sijui mwenyekiti msaidizi naye amesisika pande za mbeya last week, kuna post nimeona hapa inasema M4C imevuna watu newala, kuna gazeti nimesoma jana linasema Operasheni vua gamba vaa gwanda imefanya nini sijui ngorongoro, Lema alikuwa London, mara ghafla nikamuona kwenye Luninga serena hotel Dar, Juzi house Girl wangu kachelewa kupika eti alikuwa kwenye mkutano wa CHADEMA tabata, Kuna post imo humu inasema Mbowe anakwenda USA, Tena ingine inamwenyekiti wa CHADEMA UK anaongea na nani sijui? ni nini hasa tatizo?

CDM ndiyo chama tawala bila dola kwa sasa.CCM hawana sera za kwao zote hazitekelezeki,hata mkapa aliwahi kusema.Tunachosubiri ni kufanya uungwana wamalizie ngwe yao , of course hata wao ccm ni mashahidi wa hilo ndiyo maana hasira zao sasa kwa madakitari, waalimu na wakulima wa pamba a.k.a wasukuma
 
Updates....
Katibu wa CDM mkoa Tabora ambae ameambatana na ujumbe wa Dr Slaa ndg Ramadhani, amewalaumu wana kilosa kwa kumchagua mkulo kwamba mkulo ameharibu wizara ya fedha na kwamba hajafanya jambo lolote ktk nchi hii.
 
Aiseee baba yangu ule muda wa kuvua gamba na kuvaa gwanda ukifika upige picha mkuu

ngoja niweke mbege pembeni
 
Lakini Crashwise hii mikutano mbona imekuwa mingi sana? Mwezi wa Tano it was Lindi and Mtwara, Heche alikuwa Ifakara last week lakini saa hizi kuna taarifa kwamba yuko Tarime.

Yule katibu wake sijui mwenyekiti msaidizi naye amesikika pande za Mbeya last week, kuna post nimeona hapa inasema M4C imevuna watu Newala.

Kuna gazeti nimesoma jana linasema operasheni vua gamba vaa gwanda imefanya nini sijui Ngorongoro, Lema alikuwa London, mara ghafla nikamuona kwenye Luninga serena hotel Dar, Juzi house Girl wangu kachelewa kupika eti alikuwa kwenye mkutano wa CHADEMA tabata.

Kuna post imo humu inasema Mbowe anakwenda USA, tena ingine ina mwenyekiti wa CHADEMA UK anaongea na nani sijui? ni nini hasa tatizo?
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 Mwenyekiti wa CHADEMA alisema kama kuna mbunge amepata ubunge akajua amemaliza kazi anajidanganya, ndiyo kwanza kazi imeanza na kweli naona kazi inayofanywa na CHADEMA ya kuhakikishia na kwa mwendo huu kama CCM wakichomoka mwaka 2015 sijui.
 
Back
Top Bottom