Lumumba wakisikia habari hii njema watafurahi sana, maana haya majina mawili yaani DR.Slaa na Mbowe ndiyo kikwazo kikuu kwao - yanawanyima usingizi kabisa.
Watu wengine kwa uchokozi hamjambo,hapo penye red ndo nini?Kwa hiyo chagadema inaikubali ccm na mapigo yake ndio mana inatamani makada wake wahamie huko
upo kambi gani mkuu tujuane mapema.lowasa hana mpinzani yeye ndiye presida 2015,ccm tunamkubal na hata cdm nao
Magufuli ndio jembe ulayalowasa hana mpinzani yeye ndiye presida 2015,ccm tunamkubal na hata cdm nao
Imefahamika sasa kuwa katibu mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa hatogombea urais kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2015 tofauti na inavyodhaniwa na wanachama, wapenzi na wafuasi wa chadema.taarifa za kuaminka toka ndani ya uongozi wa juu wa Chadema makao makuu zinaeleza kuwa chama hicho kimejipanga kunufaika na mnyukano uliopo ndani ya ccm kuhusu mgombea urais huku kikijipanga kumsajili mmoja wa makada wa ccm atakaeonekana kuwa na nguvu katika kinyanganyiro cha uteuzi wa mgombea urais kupitia CCM (bila kujali taswira yake mbele ya jamii) kama ilivyokuwa kwa Mrema na NCCR- Mageuzi katika uchaguzi wa 1995.
Kuibuka kwa taarifa hizi kumekuja wakati ambapo wanaotajwa kuusaka urais kupitia ccm wakijipanga na kuunda makundi ndani na nje ya ccm ili kujiimarisha kuelekea 2015.uwanja mwingine wa mapambano ya urais umekuwa bunge maalumu la katiba ambalo linadaiwa kuwa turufu pekee ya Samwel Sitta ambaye ametajwa kuwa mmoja wa walengwa wanaosubiriwa chadema iwapo watatemwa na ccm.wengine ni pamoja na edward lowassa na Fredrick Sumaye ambaye imeelezwa kuwa havutii sana.Hii ni mara ya pili kwa Lowassa kuhusishwa na mipango ya kujiunga chadema hasa baada ya aliyekuwa kada wa ccm na mfuasi mkuu wa Lowassa huko Arusha Bw.James ole Millya kujiunga chadema.
Nawasilisha
Usipoteze muda wako kuamini anachosema Mbowe,ebu rudi nyuma jikumbushe sakata la shangingi l seriakli (KUB) na sasa liko wapi.
habari za uhakika kutoka makao makuu zinasema mzee wa sumu ben saanane atapeperusha bendera ya chadema kwenye kiti cha urais mwakani
Hili la Dr. Slaa kugombea au kutogombea, watu tunajua toka 2011!. Nisome hapa [h=3]Urais 2015 tusimlaumu Zitto; Nani anaujua Msimamo wa Dr Slaa?!.[/h]PascoImefahamika sasa kuwa katibu mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa hatogombea urais kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2015 tofauti na inavyodhaniwa na wanachama, wapenzi na wafuasi wa chadema.taarifa za kuaminka toka ndani ya uongozi wa juu wa Chadema makao makuu zinaeleza kuwa chama hicho kimejipanga kunufaika na mnyukano uliopo ndani ya ccm kuhusu mgombea urais huku kikijipanga kumsajili mmoja wa makada wa ccm atakaeonekana kuwa na nguvu katika kinyanganyiro cha uteuzi wa mgombea urais kupitia CCM (bila kujali taswira yake mbele ya jamii) kama ilivyokuwa kwa Mrema na NCCR- Mageuzi katika uchaguzi wa 1995.
Kuibuka kwa taarifa hizi kumekuja wakati ambapo wanaotajwa kuusaka urais kupitia ccm wakijipanga na kuunda makundi ndani na nje ya ccm ili kujiimarisha kuelekea 2015.uwanja mwingine wa mapambano ya urais umekuwa bunge maalumu la katiba ambalo linadaiwa kuwa turufu pekee ya Samwel Sitta ambaye ametajwa kuwa mmoja wa walengwa wanaosubiriwa chadema iwapo watatemwa na ccm.wengine ni pamoja na edward lowassa na Fredrick Sumaye ambaye imeelezwa kuwa havutii sana.Hii ni mara ya pili kwa Lowassa kuhusishwa na mipango ya kujiunga chadema hasa baada ya aliyekuwa kada wa ccm na mfuasi mkuu wa Lowassa huko Arusha Bw.James ole Millya kujiunga chadema.
Nawasilisha
lowasa hana mpinzani yeye ndiye presida 2015,ccm tunamkubal na hata cdm nao