Mchawi wake yupo sehemu inaitwa MSARANGA kule Kihurio. Unavuka ziwa Karamba, halafu unakwenda ndani kidogo kama unaelekea Mkundi ya Mnazi. Watu walisha wahi muona akigagula mtupu. Uongozi kaaaazi kweli kweli.
anamwambia OCD aache kutumika na maccm,kushusha bendera ya chama na umbumbu wa kichwa!!Dr.ni nouma aisee!!simu yangu ya mchina nashindwa kuupload picha aisee!!
anatoa takwimu za elimu jinsi ilivyoshuka!!taida linatengeneza watu mbumbu tu..watoto wa kitanzania wanzidi kuwa maskini..hata sindano hatuwezi kutengeneza..daahh!!
Gogo la Choo,
kwa kweli wilaya ya same inasikitisha sana. Same ndiyo tunashika mkia mkoani kilimanjaro katika masuala ya elimu, afya, maji, kilimo, na mazingira. wananchi wana hamasa ya kutafuta maendeleo ila inachokosekana ni uongozi.
anamwambia OCD aache kutumika na maccm,kushusha bendera ya chama na umbumbu wa kichwa!!Dr.ni nouma aisee!!simu yangu ya mchina nashindwa kuupload picha aisee!!
Tunamshukuru Dr. Slaa katika harakati hizi za M4C nchi nzima,kwani wananchi wamepata elimu ya uraia itakayowakomboa dhidi ya dhuluma,hila,uonevu na uzandiki unaofanywa na magamba. viva CHADEMA