Dr Slaa kutikisa Igunga leo

The case of a senile old making the rounds akihubiri makosa ya wengine wakati yake yako mahakamani.
Mambumbu wanakaa barabarani na mitandaoni wakimshangilia.
Thats what I call insanity

Idiot......
 
RITZ, hapa jamvini ni kama umebaki peke yako ,sasa nakupa ujanja fungua ID kama mbili hivi ili tuone walau sura tofauti kwani tumeshakuzoea mno mkubwa.
Kwani zomba Hayupo?
 
Last edited by a moderator:

Source? nilitaka kushangaa!
 
Katibu Mkuu wa Chamacha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Igunga na vitongoji vyake, katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wananchi kwa ushiriki wao katika kufanikisha kesi ya uchaguzi wa jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Igunga.
Aliyekuwa mgombea wa jimbo la Igunga katika uchaguzi mdogo mwaka jana, kupitia Chadema, mwalimu Joseph Kashindye na aliyekuwa meneja wa kampeni, Slyvester Kasulumbai, wakiwasili kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Igunga, ambako kulifanyika mkutano wa hadhara.Picha zote na Joseph Senga)

 
Inapendeza. Nimependa jinsi watu walivyopanda miti kumuona Dr.
 
Naona wamekumbuka igunga, basi Wamnunulie nguo mgombea wao, uchaguzi ukirudiwa aonekane msafi kidogo,jamaa alikua mchafu mchafu wakati wote wa uchaguzi uliopita.

Zile mlizomnunulia Dr. Kafumu umeshazichukua?
 
Kazi nzuri sana inafanyika, na kusema ASANTE ni jambo la kiungwana. M4C forever!!!!
 
Idiot......
JF is a reserve for original thinkers, and one should strive to argue accordingly.
Hata kama mtoa mada ana point lazima aitetee kwa akili kidogo, otherwise a stupid answer will always attract a stupidier response as the case we are witnessing.
Majibu kama haya yana mreduce mtoa mada kuwa a novice thinker who cannot stand criticism with grace.
 
ukombozi ndio huo unabisha hodi ccm mko wapi tokeni huko muelekee kuzimu
 
Hana jipya huyo BABU KIZEE kila siku maneno yale yale,tumemchoka

interesting,
Hebu tupe mapya ya akina Nape, Mkama (ccm) au Jk na Pinda (serikalini) ya 2012, ili tujue kama Dr Slaa hana Jipya ila wao wana mapya mazuri mengi. Tupe matano (5) tu ya mwaka huu Kwenye Chama na serikali.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…