what is fair election? what is Tanzania , ukimaliza kujibu kaoshe hiyo kitu ina harufu sanaaaaa.acha kuweweseka wewe. ni hivi majuzi tu CHADEMA imegaragazwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. au umesahau?
what is fair election? what is Tanzania , ukimaliza kujibu kaoshe hiyo kitu ina harufu sanaaaaa.
Intellectuals solve problems; geniuses prevent them by Albert Eistein.mkuu kwa haya maneno yako uliyoandika umepata sifa zote za kutukanwa,
kwa vile binadamu haturuhusiwi kutukanana ngoja tukuache uendelee na upeo wako mdogo wa kujua maswala.
Ahsante sana kamanda Molemo kwa taarifa hii.
Mkutano wa Dkt. Slaa uwanja wa Kampala utaanza saa 10:00 alasiri. Wananchi wote wakazi wa jimbo la Ukonga cila kujali itikadi zao mnakaribishwa kutoa maoni yenu juu ya rasimu ya katiba mpya ya 2013!
Chadema Yatosha!
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
wanatwanga maji kwenye kinu dar ina wenyewe.
Wauza unga.wenyewe ndo nani?
Mbona sehemu zingine hawaji,waje hata biafra jamani kila siku pande hizo tu,wengine hamtutendei haki kabisa,njooni na kinondoni basi.
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
Kwa dar mtapoteza muda fanyeni mikutano moshi
Kamanda 😛eace:molemo
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa kesho Jumamosi anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara Dar es Salaam katika uwanja maarufu wa Kampala ulioko Gongolamboto.
Katibu wa Jimbo la Ukonga Juma Mwaipopo akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari amesema Dr Slaa ataunguruma katika viwanja hivyo ikiwa ni maalum kwa ajili ya kukusanya maoni ya Katiba mpya.
Dr Slaa anatarajiwa kuambatana na Mjumbe wa Kamati Kuu Mabere Marando,Wabunge John Mnyika na Halima Mdee,Mkurugenzi wa sera na utafiti Mwita Waitara pamoja na viongozi mbalimbali walioko makao makuu.
Kwa siku za karibuni Chadema imekuwa ikipata ufuasi mkubwa jimboni Ukonga na hii ni kutokana na jimbo hilo kuwa kama vile halina mbunge kutokana na matatizo makubwa yaliyopo jimboni humo.
Kumekuwa na ubovu mkubwa wa miundombinu jimboni Ukonga hasa kipindi cha mvua ambapo nauli ya daladala imekuwa ikifika hadi shilingi 1000/-
Tayari kuna shamrashamra nyingi kusubiri ujio huo wa Dr Slaa ambaye ana mvuto wa kipekee nchini.
Suala la itikadi lazima liwepo usitake kuhadaa wananchi wacha Chadema wachache toka nje ya Ukonga waje.Na usisahau kuleta picha kama zile za Iramba.Ahsante sana kamanda Molemo kwa taarifa hii.
Mkutano wa Dkt. Slaa uwanja wa Kampala utaanza saa 10:00 alasiri. Wananchi wote wakazi wa jimbo la Ukonga cila kujali itikadi zao mnakaribishwa kutoa maoni yenu juu ya rasimu ya katiba mpya ya 2013!
Chadema Yatosha!
Like avatar like brain.Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.