maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Slaa akifanya hivyo ataonesha unafiki wake hadharani.
Hata wale wafuasi wachache aliobakia nao watauona usaliti wake.
Na atathibitisha rasmi kuwa ana chuki binafsi na Lowassa na sio zile blah blah zake alizoziongea pale Serena.
Hahaa ajiandae kuzomewa sana, nazani anashauliwa vibaya sana na Josephine,
mtu wa ovyo kabisa aliewahi kutokea ktk siasa za nchi hii
Kingunge naanza lini kumnadi Lowasa?
nina maswali mengi najiuliza,
nani alimlipia coverage Kingunge kurusha kipindi chake?
Nani kamnunua huyu mzee?
Huyu mzee ni msaliti kwa chama chake
fantasies za magamba bana:iamwithstupid:Endeleeni kuota kufumba na kufumbua Jaji Lubuva anamtangaza 1st Runner 32% EL na Winner JPM 66% mtatafutana, vijiweni Jua litakuwa kali? Itakuwa kama gemu ya Mau U.........
Dr silaa anataka kujidhalilisha tuu sio kingine Gwajima kashammaliza kabisa na watanzania tumeelewa kinachoendelea kwa Dr silaa na mkewe na ccm
Dr mihogo si kastaafu siasa? Teh anahangaika kama anataka kutaga vile....
Baada ya mambo kuwa magumu ndani ya ccm hasa baada ya kuona nguvu ya lowassa ikizidi kuongezeka kwa kasi, sasa aliyekuwa katibu mkuu wa chadema, Dr. Wilibrod Slaa atamnadi mgombea wa urais wa ccm Dr. Magufuli.
Habari kutoka lumumba zinasema kwamba, awali Slaa ilikuwa atumike kuinadi ACT-Wazalendo lakini ikaonekana kwamba asingeweza kushwawishi wapiga kura katika kipindi hiki cha kampeni kuikubali ACT.
Lengo la kuinadi ACT lilikuwa kupunguza kura za upinzani hasa katika mikoa ya kigoma, tabora, ruvuma, kagera na mikoa ya kaskazini, lkn ikaonekana kwamba bado asingefanikiwa kushawishi wananchi.
Hivyo Dr Slaa atatumika kumnadi magufuli chama ambacho yeye amekuwa akikipinga na kusema tatizo sio mgombea bali mfumo wa chama chake ndio mbovu.
Sasa tunashuhudia Slaa akisimamia asichokiamini.
source: mwanahalisi
Ndugu yangu Hapa Lowassa alikuwa anaongea kwa simu na ya kikazi huku yeye akiwa kashika simu yake akimweleza aliyekuwa anaongea nae ujumbe uliopo kwenye simu yake. Tusipotoshe watu ndugu.Si kidogo, kupanda jukwaani bila kusaidiwa hawezi. Kuna mpuuzi mmoja wa Geita kasema eti alijinyea Chato stendi, upo?!
Baada ya mambo kuwa magumu ndani ya ccm hasa baada ya kuona nguvu ya lowassa ikizidi kuongezeka kwa kasi, sasa aliyekuwa katibu mkuu wa chadema, Dr. Wilibrod Slaa atamnadi mgombea wa urais wa ccm Dr. Magufuli.
Habari kutoka lumumba zinasema kwamba, awali Slaa ilikuwa atumike kuinadi ACT-Wazalendo lakini ikaonekana kwamba asingeweza kushwawishi wapiga kura katika kipindi hiki cha kampeni kuikubali ACT.
Lengo la kuinadi ACT lilikuwa kupunguza kura za upinzani hasa katika mikoa ya kigoma, tabora, ruvuma, kagera na mikoa ya kaskazini, lkn ikaonekana kwamba bado asingefanikiwa kushawishi wananchi.
Hivyo Dr Slaa atatumika kumnadi magufuli chama ambacho yeye amekuwa akikipinga na kusema tatizo sio mgombea bali mfumo wa chama chake ndio mbovu.
Sasa tunashuhudia Slaa akisimamia asichokiamini.
source: mwanahalisi
Hivi mimi nimesema alikuwa anafanya nini?!Ndugu yangu Hapa Lowassa alikuwa anaongea kwa simu na ya kikazi huku yeye akiwa kashika simu yake akimweleza aliyekuwa anaongea nae ujumbe uliopo kwenye simu yake. Tusipotoshe watu ndugu.
Amerudi amechoka balaa:what: angalia asijeshindwa kupanda jukwaani😀
Kuna habari kwamba ataongea kwenye mikutano ya campaigns ya act kama "mgeni" na kumpaka lowassa kupitia mikutano ya act wazalendo, nia ni kumpunguzia kura lowasa na kumpaisha magufuri
Nakushukuru mkuu,ubarikiwe.Agape ni aina ya upendo usiyotafuta faida wala tamaa.
CC: peterchoka