Aje tu alipe fedha za siisiieem alizokula. Aliwaahidi kummaliza Legwanani kumbe akamwongezea sifa. Sasa yupo kwenye chati ya juu kabisa mpaka Lumumba wanalia mbwataaa.
Nasikia kaandaliwa chopa kuzunguka nchi hii ya malofa kuwaeleza jinsi raha ilivyo kule Marekani. Kishasahau mihogo hali tena. Kama usaliti ni mtamu kiasi hiki, basi alijitahidi kuliko kungojea za kutukanwa kila uchwao.
Cha muhimu, asjisumbue kupambana na Legwanani kwani yule ndio chaguo letu. Alivyo ndivyo tulimkuta na ndivyo tutampeleka Ikulu