Dr Slaa: Kukimbia Bunge Hakusaidii

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Dr. Slaa katema cheche kwa wabunge wa Ukawa na kuwambia wamekosa sifa za kuwa wabunge na kwamba wabunge kukimbia bunge hakusaidii hata kidogo...
 

Attachments

  • 1467173730625.jpg
    1467173730625.jpg
    67.4 KB · Views: 50
Yeye ni raia wa Canada.Nchi yetu hairihusu uraia pacha.Mbona anaingilia mambo ya ndani ya nchi ya Tanzania.Au pesa imeisha anatafuta pa kutokea.
 
Dr. Slaa katema cheche kwa wabunge wa Ukawa na kuwambia wamekosa sifa za kuwa wabunge na kwamba wabunge kukimbia bunge hakusaidii hata kidogo...
Akafie mbele huko keshazeeka huyo! Kwani wameanza kutoka Leo?Mbona tokea enzi yeye akiwa katibu mkuu walikua wakitoka?
 
"....Let us not say, every man is the architect of his own fortune, but let us say, every man is the architect of his own character..."
 
KUSUSIA NCHI HAISAIDII! Ukishakimbilia nchi nyingine hivyo umekosa SIFA ya kuwa Mtanzania. Yaache ya kwetu,yanakuhusu nini Dr Slaa?

Ulikusudia kuleta mgawanyiko baada ya kupewa visenti ili umoja huu ufe,basi furahia kutoingia kwao bungeni ili maboss wako wawe na kazi nyepesi kutawala.
 
Mbona yeye hawala yake amemdanganya hadi ameikimbia familia yake na mpaka saizi hajui familia yake imekula nini.
Lakini swala la wabunge wa ukawa kutoka nje ndio limemuuma kuliko familia yake.
Huyu mzee ninauhakika kwasasa atakuwa sio mzima.
 
Kwa hili Dr Slaa KAPATIA
UKAWA rudini Bungeni kapambaneni na Dr Tulia!Hampo Bungeni CCM wanazidi pitisha tu mambo yao,hamna effect yyt mliyoileta hadi sasa kwa kugoma kuingia Bungeni
 
Njaa kitu kibaya sana sasa huyo Dr.Mihogo alisema ameacha siasa kwa sasa anaishi huko Canada sasa mambo ya Upinzani yanamuhusu nini?
 
Back
Top Bottom