Dr Slaa: Kukimbia Bunge Hakusaidii

Yeye ni raia wa Canada.Nchi yetu hairihusu uraia pacha.Mbona anaingilia mambo ya ndani ya nchi ya Tanzania.Au pesa imeisha anatafuta pa kutokea.
aha sio kwamba yuko pale kukwepa kula mihogo kwa muda kumbe alishajitwalia uraia
 
Aingie kwenye siasa aendeshe njia za upinzan anazoona zinafaa kuliko kufundisha wenzie
 
Gazeti linalomnukuu Dr. Slaa nalo ni matatizo tu. Mtu aliyesaliti mageuzi ana story gani ya maana?
 
Back
Top Bottom