Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!


Ungetutendea HAKI na labda pia tungekuweka kwenye kundi la GT kama
  1. Ungetutajia hizo TUHUMA alizotoa Dr. Slaa kwa mkuu wa nchi
  2. Ungetutajia pia hayo maneno ya HOVYO anayookoteza vijiweni Dr. Slaa.
Kama usipofanya hivyo basi wewe ni DEBE shinda hukosi ...................... malizia mwenyewe
 
Ila mwizi ni mwizi2, akisikia jiwe limedondoka juu ya bati2 basi yeye hukimbia kimbia hata kwenda kujifi chooni.hivi mnamtishia nyau (paka)kwa kutumia panya? Siitakuwa furaha ya paka maana atakuwa kapata kitoweo! Haya mpelekeni DK.SLAA, mahakamani akawaumbue vizuri magamba yalio zowea kula bila kunawa
 
Thibitisha wewe uongo aliousema sasa ili tukuamin wewe. Na msipo thibitisha uongo wake bali hayo aliyoyasema ndio taswira halisi ya kiongozi wetu.
 
Dr. Slaa watamuonea bure kichwa chake siyo kizuri. Uliona wapi kiongozi anataka "gongo" ihalalishwe?
 
kwa akili yako wewe uliyepost makala hii kweli nchi yetu inasafari ndefu katika kuelimisha watu wake. Halafu ukifeli utailaumu serikali kweli.
 
Hata hivyo atakuwa amapamiss mahakamani maana ni muda sasa mlikuwa kimya, mmeanza tena, endeleeni kumpaisha atawafanya kazi.!
 

Hv ulishapataga bwana au bado unazurura tu hapo lumumba?
 

Hao wadau ni wajinga na inaonesha ni watu wa kujikomba. Kama JK anaona kakashifiwa yeye ndiye anayepaswa kwenda mahakamani. Pili pili iko shamba hao wadau wajinga inawawashia nini? Mbona alipotajwa kwenye list of shame hawakwenda mahakamani na hata yeye mwenyewe kaufyata. Hao wadau wajinga waende mahakamani wakamdhalilishe JK na ni wazi yeye ndiye atakuwa shahidi muhimu hapo ndipo utamu utakapokolea akipigwa maswali mahakamani halafu aanze kujiuma uma. Kwanza hao wanataka kupoteza muda wa mahakama. Wataulizwa wao wanafungua mashitaka kama nani? Je wametumwa? Je wao wanaathirikaje kuliko mlengwa mwenyewe? Na je kama maneno aliyosema Slaa ni ya uongo kwanini mhusika asifungue mashitaka??
 
Dr. Slaa watamuonea bure kichwa chake siyo kizuri. Uliona wapi kiongozi anataka "gongo" ihalalishwe?
Kwa akili yako unadhani gongo ndiyo pombe kali kuliko zote. Nenda kwenye maduka ya pombe uone pombe ambazo ni kali kuliko gongo na ambazo serikali imeziruhusu na inachukua kodi.
 
Thibitisha wewe uongo aliousema sasa ili tukuamin wewe. Na msipo thibitisha uongo wake bali hayo aliyoyasema ndio taswira halisi ya kiongozi wetu.
Waliufyata alipotajwa kwenye list of shame itakuwa hili? Hao ni wajinga wachache wanaoishi kwa kujikomba. Wanataka kusema wao wanauchungu kuliko mkewe au wanae. Hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…