WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
Mtoto wa nyoka ni nyoka,
umesahau hata jei kei aliutaka uraisi toka 1995,mzee nyrere akiwa mei mosi mbeya akasema.
'nchi haiwezi kuongozwa na wahuni wanao amka leo na kutamani kuingia ikulu bila kufikiria watawafanyia nini watanzania'
-rejea ombi aliloenda nalo butiama na kikwete akaambiwa aende nairobi akikutana na dk.salim a.salim amwambie kuwa aje agombee uraisi.
Ndipo mzee salim kwakuwa hakuwa na uroho wa madaraka alikataa ili aendelee kuitumikia afrika kwa ujumla.
-hawa akina makamba,kigwangala wametumwa na makundi yao kupima upepo.