Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.
Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.
Kwani Zitto anapambana na chadema badala ya ccm? TAFAKARI
Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.
Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.
umechoka sasa subiri, tunamfukuza kimtu chenu sooon, ilimuazishe chama chenu au mpanue chauma
SO WHAT? Wewe leo hii sema RAIS KIKWETE kasinda URAIS kwa NGUVU 2015; Mpeleke Dr. Slaa KISARAWE kuhutubia Wananchi na kusema kuwa kiuhalali na kikatiba Dr. Slaa ndie Rais wa nchi halafu baadaye Mpeleke Jakaya Kikwete
Ukimaliza hivyo fanya vice versa...
sababu unatumikia UKABILA wewe as a Means ya DEMOKRASIA yako NDIO NYERERE aliikataa ndio Maana bado tuna DEWJI MBUNGUNGE wa SINGIDA MJINI wewe unahangaika na UKABILA na ZITTO KABWE
Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.
Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.
Hata mimi sasa imani inaanza kupotea ndani ya chama kwenye hili naiona kesho mbaya ya chadema kama wataendelea kubaki hv.
Siko upande wa msaliti hata siku moja lkn inaelekea msaliti anawashinda viongozi wetu wa chama na walichobaki nacho viongozi wetu wa chama ni propaganda zisizokuwa na maana yoyote mara wachakachue picha za mkutano, mara network mbovu, mara tutamfukuza akiendelea na maandamano yaan ujinga mtupu wanaofanya na maamuzi wanashindwa kuyafanya. Mtu mwenye uthubutu ndani ya cdm ni lema pekee na wala sio hao waoga wengine wanaojificha kwa mgongo wa busara.
Mwigamba aliliona hili siku nyingi kua uongozi wa juu ni Mizigo akanyang'anywa lap Top yake na kupigwa ban kushiriki shughuri zozote zile za Chama, Dr. Kitila akawaambiwa kuwa Uongozi wa juu uko too Local akaandaa waraka wa mabadiriko kwa nia ya kukisaidia CHAMA lakini ndio hivo tena Kamati Kuu ikamuona na hatia na kumvua vyeo vyote na sasa anasubiri rehema za KK kwa kipindi cha siku 14 ambazo hazifahamiki zitaisha kuhesabika lini, Zitto kabwe akasema ana nia ya kuonyesha style tofauti ya kuongoza ndio hivyo kapewa jina la msaliti na muasi. Sasa kumbe hata wewe rafiki umeona tatizo la viongozi wa JUU??? WANAPASWA KUBADIRISHWA KATIKA UCHAGUZI WA KIDEMOKRASIAViongozi ........ Natamani Mbowe angekuwa Lema, au Dr. Slaa angekuwa Lema Cdm isingefika hapa ilipo na kuwafanya wanachama wake kupoteza imani nayo.
Chadema kama Zitto mnaona anawasaliti si mfukuzeni tu au mnaogopa.
Kumbe kuna mapambano?
Kwa upuuz ambao wachaga wa chadema wanaufanya naona ni bora niendelee kuwashabikia mafisadi wa ccm kuliko wanafki wanaotumia ruzuku ya chama kujinufaisha