Dr. Slaa Kigoma matatizo ya network, Zito kigoma hakuna tatizo kama hilo-Tumaini Makene.

Status
Not open for further replies.

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.

Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.
 
Huo ndio ukweli, na sisi wana chadema damu tunaumia sana!
 
Nafikiri chama kipya cha zitto kwa kuwa makao makuu yake ni Kigoma, miundombinu ya kimakao makuu imetengenezwa vizuri kwaajiri ya kupasha habari mapema. Chadema ni chama kikongwe sasa na kikubwa ukikilinganisha na kile wanachoanzisha akina zitto huko Kigoma, kina mambo mengi na kabla ya kurusha picha nilazima uhariri ufanyike hii ni pamoja na kuwasiliana na Dar pamoja na sehemu zingine siyo kurusha tu kama wanavyofanya maafisa habari wa zitto. Picha moja naona inaweza kujirudia hata mara 5 kwa zitto, maana yake nini? Chadema are still smart for each procedure.. Lakini hata hawa watu wa zitto atakapo watraining vizuri watafanya vizuri labda! Halafu hiki chama cha Zitto kipya kinaweza kuwa cha kikabila vile? au kidini vile, mie najaribu kusema tu nisihukumiwe!!!
 
Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.

Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.

SO WHAT? Wewe leo hii sema RAIS KIKWETE kasinda URAIS kwa NGUVU 2015; Mpeleke Dr. Slaa KISARAWE kuhutubia Wananchi na kusema kuwa kiuhalali na kikatiba Dr. Slaa ndie Rais wa nchi halafu baadaye Mpeleke Jakaya Kikwete

Ukimaliza hivyo fanya vice versa...

sababu unatumikia UKABILA wewe as a Means ya DEMOKRASIA yako NDIO NYERERE aliikataa ndio Maana bado tuna DEWJI MBUNGUNGE wa SINGIDA MJINI wewe unahangaika na UKABILA na ZITTO KABWE
 
umechoka sasa subiri, tunamfukuza kimtu chenu sooon, ilimuazishe chama chenu au mpanue chauma

Siko upande wa msaliti hata siku moja lkn inaelekea msaliti anawashinda viongozi wetu wa chama na walichobaki nacho viongozi wetu wa chama ni propaganda zisizokuwa na maana yoyote mara wachakachue picha za mkutano, mara network mbovu, mara tutamfukuza akiendelea na maandamano yaan ujinga mtupu wanaofanya na maamuzi wanashindwa kuyafanya. Mtu mwenye uthubutu ndani ya cdm ni lema pekee na wala sio hao waoga wengine wanaojificha kwa mgongo wa busara.
 
SO WHAT? Wewe leo hii sema RAIS KIKWETE kasinda URAIS kwa NGUVU 2015; Mpeleke Dr. Slaa KISARAWE kuhutubia Wananchi na kusema kuwa kiuhalali na kikatiba Dr. Slaa ndie Rais wa nchi halafu baadaye Mpeleke Jakaya Kikwete

Ukimaliza hivyo fanya vice versa...

sababu unatumikia UKABILA wewe as a Means ya DEMOKRASIA yako NDIO NYERERE aliikataa ndio Maana bado tuna DEWJI MBUNGUNGE wa SINGIDA MJINI wewe unahangaika na UKABILA na ZITTO KABWE

Hebu tulia mkuu then uandike upya mana unaonekana kama unakimbia. huwa naheshimu sana post zako. sijakuelewa unataka kumaanisha nini?
 
Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.

Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.

Hata mimi sasa imani inaanza kupotea ndani ya chama kwenye hili naiona kesho mbaya ya chadema kama wataendelea kubaki hv.
 
Viongozi wameiga siasa zake za majukwaan lazima atawapoteza. Natamani Mbowe angekuwa Lema, au Dr. Slaa angekuwa Lema Cdm isingefika hapa ilipo na kuwafanya wanachama wake kupoteza imani nayo.
 
Napita zangu.......zito yeye ni nani? Hata mimi nina mbunge wangu wa ccm ma Tibaijuka
akija kuongea na wananchi wake lazima nifike bila kukosa, lakini hii hainiondolei kuamini kuwa chadema ndio chama mbadala
cha upinzani. Zito wewe ndo ulinikatia kadi ya uanachama wa chadema katika mkutano wako wa hadhara katika viwanja vya magomeni Kirumba Mwanza tarehe august 15 ,2008.
Lakini bado nina iamini chadema kuliko ninavyo kuamini wewe.
 
Siko upande wa msaliti hata siku moja lkn inaelekea msaliti anawashinda viongozi wetu wa chama na walichobaki nacho viongozi wetu wa chama ni propaganda zisizokuwa na maana yoyote mara wachakachue picha za mkutano, mara network mbovu, mara tutamfukuza akiendelea na maandamano yaan ujinga mtupu wanaofanya na maamuzi wanashindwa kuyafanya. Mtu mwenye uthubutu ndani ya cdm ni lema pekee na wala sio hao waoga wengine wanaojificha kwa mgongo wa busara.

TUNAKUSHUKURU KWA KULINDA CDM , LAKINI siku zote WASALITI WANA MSAADA WA SHETANI .
 
Viongozi ........ Natamani Mbowe angekuwa Lema, au Dr. Slaa angekuwa Lema Cdm isingefika hapa ilipo na kuwafanya wanachama wake kupoteza imani nayo.
Mwigamba aliliona hili siku nyingi kua uongozi wa juu ni Mizigo akanyang'anywa lap Top yake na kupigwa ban kushiriki shughuri zozote zile za Chama, Dr. Kitila akawaambiwa kuwa Uongozi wa juu uko too Local akaandaa waraka wa mabadiriko kwa nia ya kukisaidia CHAMA lakini ndio hivo tena Kamati Kuu ikamuona na hatia na kumvua vyeo vyote na sasa anasubiri rehema za KK kwa kipindi cha siku 14 ambazo hazifahamiki zitaisha kuhesabika lini, Zitto kabwe akasema ana nia ya kuonyesha style tofauti ya kuongoza ndio hivyo kapewa jina la msaliti na muasi. Sasa kumbe hata wewe rafiki umeona tatizo la viongozi wa JUU??? WANAPASWA KUBADIRISHWA KATIKA UCHAGUZI WA KIDEMOKRASIA
 
Kwa upuuz ambao wachaga wa chadema wanaufanya naona ni bora niendelee kuwashabikia mafisadi wa ccm kuliko wanafki wanaotumia ruzuku ya chama kujinufaisha
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom