Dr. Slaa Kigoma matatizo ya network, Zito kigoma hakuna tatizo kama hilo-Tumaini Makene.

Status
Not open for further replies.
watanzania wasiojielewa vituko
nchi ina matatizo chungu nzima ya umaskini,umeme umepanda,ajira kwa vijana hakuna,rasilimali
zinaibwa,wateteak katiba wanauwa nyie mnakuja na hoja za zito na chama kufa,,,,upuuuziii mtupu
Zito atapatana na chama chake mambo yataenda,nyie mnaolia kwenye mitandao mtafaidika nini
vijana acheni kununulika,jitambueni
msikubali kutumika na chama tawala..wanaomlilia zaidi ZKK ni CCM, connect the dots..
 
Maneno yangu naona yanaanza kutimia,watz hatupendi chama bali tunampenda mtu,kaka yangu anakichukia chadema kupita maelezo lakini 2010 alikuwa anafanya kampeni za ndani ya nyumba tumpigie kura mnyika just kwa sababu anajua umakini wake na hakurupuki sasa nyie chadema endeleeni kubugi na siasa zenu za kumkomoa na kumchafua zito kwa kufikiri mnakijenga chama,
 
Kwa upuuz ambao wachaga wa chadema wanaufanya naona ni bora niendelee kuwashabikia mafisadi wa ccm kuliko wanafki wanaotumia ruzuku ya chama kujinufaisha

Wachaga tena! Hapa wameingiaje bwana mbona wachaga ni kabila na sio chama? Au ina kitu personal na wachaga? Ni wivu au chuki mkuu. Angalia utapata kansa tu na hiyo nyongo ya wivu na chuki.
 
Post yoyote watu wanaanza na matusi, sasa wewe na chama chako hicho doesn't matter ni CDM au CCM, Nchi hiyo unayotaka kubuild unajiita mwanachama damu kwa matusi, ndio nchi unataka kutengeneza kwa matusi?? Afu mnajiita wanamapinduzi bila aibu mnataka kujilinganisha na watu kama Mandela au Nyerere, ni ujinga, ukifikiria deeply unachofanya hakikusaidii, unadhani kwa nini watu wanasema CDM ni chama cha vibaka? Jibu moja kwa moja ni sababu ya MATUSI na fujo, ukiangalia kwa makini viongozi wa CDM hawatukani matusi ya nje nje, ukiitwa mjinga hujatukanwa au mwizi, since ni kweli, ila mnavotoa matusi sijui mamako kawaje, sijui ujinga ujinga gani, how better does that make u? sikutofautishi na yule unayemtukana kukuibia, tena wewe ni worse maana unatukana hadi mama yake ambaye hata hausiki. What a bunch of ignorant
 
Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.

Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.

Wewe na nani?mtajambishwa sana mamluki nyie.MWAKA UNAKWISHA,WASIRA ALIWADANGANYA,MKAMPA KURA ZA KISHINDO ETI ATAIUA CHADEMA,NYOOO
 
Chadema kilishafikia ukingoni, sasa chaporomoka.

Haipo demokrasia ndani ya Chadema, ndio inayowamaliza.
 
Chadema mnafanya mchezo wa kuigiza, tumestuka.

Ni kweli. Mtu mmoja aliandika hivo humu kuwa wakati maccm wakilikodolea macho jambo hili kwao kuna mnyukakano wa tokomeza ujangili, mawziri mizigo na waziri mkuu aliyejichokea na kutazama mambo yakienda hovyo kwa kusema "liwalo na liwe na acha wapigwe tu"
 
Napita zangu.......zito yeye ni nani? Hata mimi nina mbunge wangu wa ccm ma Tibaijuka
akija kuongea na wananchi wake lazima nifike bila kukosa, lakini hii hainiondolei kuamini kuwa chadema ndio chama mbadala
cha upinzani. Zito wewe ndo ulinikatia kadi ya uanachama wa chadema katika mkutano wako wa hadhara katika viwanja vya magomeni Kirumba Mwanza tarehe august 15 ,2008.
Lakini bado nina iamini chadema kuliko ninavyo kuamini wewe.

madhara ya kutojitambua, chadema ni watu mkuu

walioko chadema akina mbowe na slaa wote wana tuhuma za ufisadi wa kutisha

wewe amini uongo tu, haujakatazwa
 
Kurugenzi ya Habari imeonyesha uozo mkubwa sana kutuhabarisha. Halafu walivyo na unafiki update ya mkutano tunarushiwa saa mbili usiku wakati mkutano umeshaisha. Nadiriki kusema Kurugenzi inajaribu kuhujumu chama in favor of ZZK.
Inakuwaje mikutano ya Zitto tunapata live coverage kuanzia anavyopokelewa mpaka mkutano unaisha? CDM wanashindwa nini kufanya hivyo?

Kurugenzi ijiangalie
 
Post yoyote watu wanaanza na matusi, sasa wewe na chama chako hicho doesn't matter ni CDM au CCM, Nchi hiyo unayotaka kubuild unajiita mwanachama damu kwa matusi, ndio nchi unataka kutengeneza kwa matusi?? Afu mnajiita wanamapinduzi bila aibu mnataka kujilinganisha na watu kama Mandela au Nyerere, ni ujinga, ukifikiria deeply unachofanya hakikusaidii, unadhani kwa nini watu wanasema CDM ni chama cha vibaka? Jibu moja kwa moja ni sababu ya MATUSI na fujo, ukiangalia kwa makini viongozi wa CDM hawatukani matusi ya nje nje, ukiitwa mjinga hujatukanwa au mwizi, since ni kweli, ila mnavotoa matusi sijui mamako kawaje, sijui ujinga ujinga gani, how better does that make u? sikutofautishi na yule unayemtukana kukuibia, tena wewe ni worse maana unatukana hadi mama yake ambaye hata hausiki. What a bunch of ignorant

Mitusi, Kashfa na Jazba kwa baadhi ya Viongozi na Wanachama/Mashabiki inachafua muonekano wa Chadema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom