Dr. Slaa Kigoma matatizo ya network, Zito kigoma hakuna tatizo kama hilo-Tumaini Makene.

Status
Not open for further replies.
'Kurugenzi ya habari' ilishaingiliwa na akina Ben sasa Makene mtamuonea bure!

N mbaya zaidinkurugrnzi hii ya habari mpya yanwakinanBen wao kazi yao kubwa ni kumsemea Mbowe na Slaa na wala si chama!!
 
Mkuu chama kinaweza kufa kwa sababu ya kushindwa kuapload picha za mkutano immediately??
ili taifa linahitaji maombezi kama tumefikia hatua ya watu kuwaza na kupost mambo ya hivi :thinking:

Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.

Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.
 
Ndio maana CDM itakufa, hamjui mbapambana na nani, adui wenu hamumfahamu
 
Kwa upuuz ambao wachaga wa chadema wanaufanya naona ni bora niendelee kuwashabikia mafisadi wa ccm kuliko wanafki wanaotumia ruzuku ya chama kujinufaisha

We gamba unasumbuliwa na njaa tu,huwezi kuishi bila kuramba miguu ya mifisadi! Endelea kula makombo huko uliko lakini tambua MABADILIKO NI SAWA NA MAFURIKO,HUWEZI KUYAZUIA KWA HIYO MIKONO YAKO!
 
Ndio maana CDM itakufa, hamjui mbapambana na nani, adui wenu hamumfahamu

Hizo ngonjera zimeshatuchosha siku nyingi! mbona mwaka umeisha na haijafa? ingekuwa ya kufa mbona sasa mnaweweseka sana na cdm kuonyesha inawanyima usingizi? CHEZEA CDM NI MSINGI WEYE! SUBIRINI 2014 MTATIA ADABU TU!
 
Kweli kazito kametumwa kuharibu chama,mikutano aifanyanyayo ina baraka ya nani? Dr katoka huko juzi tu kuna haja gani ya kufanya mihadhara kama si kibaraka wa ccm huyu.Toa ndani chama,hatutaki ubinafsi sisi.
 
Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.

Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.

Unataka upewe wewe kitengo hicho?
 
Kurugenzi ya Habari imeonyesha uozo mkubwa sana kutuhabarisha. Halafu walivyo na unafiki update ya mkutano tunarushiwa saa mbili usiku wakati mkutano umeshaisha. Nadiriki kusema Kurugenzi inajaribu kuhujumu chama in favor of ZZK.
Inakuwaje mikutano ya Zitto tunapata live coverage kuanzia anavyopokelewa mpaka mkutano unaisha? CDM wanashindwa nini kufanya hivyo?

Kurugenzi ijiangalie

Naunga mkono hoja
 
Mkuu chama kinaweza kufa kwa sababu ya kushindwa kuapload picha za mkutano immediately??
ili taifa linahitaji maombezi kama tumefikia hatua ya watu kuwaza na kupost mambo ya hivi :thinking:

Nafikiri unahitaji muda zaidi kujifunza siasa ili ufahamu kuwa information is power.
 
Nathubutu kusema na nitaendelea kusema Chadema chama changu sasa kimefika mahali pabaya kinaweza kufa muda wowote. Alipokuwa Dr. Slaa kigoma picha zilikuwa zinachelewa kufika hapa jukwaan kwa kusingizia matatizo ya mtandao wakati za Zito zinatumwa ontime au Kabwe yupo Kigoma ya dubai? siyo aliyoenda Dr Slaa. Nina mashaka na uwezo na kurugenzi ya habari ya chadema na Tumaini Makene wao.

Tunaomba kamati kuu ikiri kuwa imeshindwa mapambano na zito ili wanachama tujue kuliko kurushiana vijembe kwenye mikutano. Tumechoka na ngonjera zenu.

Sababu uliyoitaja haiendani na maudhui ya heading yako. Network kuwepo au kutokuwepo hakuwez kusababisha kitu kufa. Ni vema heading yako ungesema kuwa Nani mkweli na blah blah blah kuhusu network huko Kigoma. Ama kuhusu kufa kwa hicho unachodai heading ingekuwa na maelezo ambayo ni compatible na heading yako, lakini hii haiko compatible( hai Tally) na maelezo yaliyomo ambayo ndo ufafanuz wa kina wa heading.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom