Dr Slaa katika ubora wake

Dr Slaa katika ubora wake

salmar

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
799
Reaction score
363
Yetu macho
attachment.php
 

Attachments

  • Screenshot_2015-10-04-17-56-32.jpg
    Screenshot_2015-10-04-17-56-32.jpg
    108.5 KB · Views: 5,120
Hivi salmar hii picha ni wapi? Ni hapa hapa bongo ama usa?
 
Mzee Slaa ni Mwenyekiti wa CCBRT alikuwa anatimiza wajibu wake hapo...

Tusihusishe tukio hili na siasa...

Ila expression ya uso sasa...

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
 
Unafki mbaya jaman lol, huna aman mda wote, km kajiandaa kwa mbio hapo..
 
Ilikuwa lini na wapi

Dar, CCBRT, Dr Mihigo Slaa akiwa Mwenyekiti WA Baraza la wadhamini CCBRT, nafikiri Ni 2013, sina hakika, kabla hajatangaza dau lake na kununulika!!
 
Back
Top Bottom