Umejipendekeza tu kwani hata CDm wapo kina Lisu ni Mnyaturu,Prof Safari sio mchaga,Patrobas msukuma. Nanukuu maneno ya mwenye chama Zitto alipohutubi uwanja wa Kiganamo,Kasulu alisema nani kawaambia Mwanamke wa Kiha hawezi kuzaa mtoto akawa kiongozi wa chama hivyo Waha wakisema Act Wazalendo ni chama chenu semeni ndio na mtembee kifua mbele kujivunia chama cheenu.nilimsikia mwenyewe akisema hayo we jitoe ufahamu tuwanaosema A.C.T cha waha mimi ni mkinga niko ACT na hata halmashauri kuu ya taifa kuna wakinga wawili Godlove Fungo na Geofrey Sanga so wawe wanasema na wakinga tofauti na chadema eti mjumbe kamati kuu toka Mbeya ni mchaga anaitwa Hugho Kimalio.
Hana budi maana kule kumeingiliwa na kirusi
Mimi mtu wa kigoma si lumumbaEwe mtu wa Lumumba umetoka wapi kumsikitikia Dr Slaa?
Mimi mtu wa kigoma si lumumba
hivi zezeta lenu halivai nepi kweli; maana hali si nzuri:
Kwako Dr,
Nchii hii bado inakuhitaji sana. Ni dhahiri hao Chagadema hawakuhitaji tena; Zezeta lenye pesa zake limeshanunua sio tu chagadema bali ukawa yote; nacheka kila siku nikikiona hicho ki salum mwalimu kikijifanya kuvaa viatu vyako.
Hakina uzoefu wowote wa kuratibu siasa hasa za kipindi cha uchaguzi; hakina elimu na upeo wa kutosha; hakika kitavuruga uchaguzi huu kila kona, na Chagadema kama chama hakitapata wabunge wengi kama kinavyodhani.
Ni kijibaraka cha Mbowe; Na hakimjui born town Freeman vizuri mzee wa Mega deals, na baada tu ya uchaguzi mkuu; kitasahaulika kabisa kabisa kisiasa. Bora Mnyika alivyoamua kukaa kimya.
Karibu ACT Dr, tangaza mali zako; njoo tukijenge chama kwa ajili ya upinzani wa ukweli baada ya october 2015.
Tena mstue na Professor Lipumba mje wote( wazee wa Ukawa asili).
Wasalaaam;
Mkonozi.