Dr. Slaa is officially jobless

Dr. Slaa is officially jobless

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,279
Reaction score
7,681
Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.

Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.

Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.

Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.

Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.

Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.

Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?

Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
 
Taarifa hii ya mwaka 2013 hatimaye imetimia...
 
Attachments

  • 1440128489151.jpg
    1440128489151.jpg
    69.4 KB · Views: 4,760
The Makopo naona Lumumba wameamua kukurudisha kazini baada ya maji kuwafikia shingoni,lakini nasikitika kukwambia itabidi ubadili mbinu ili uende na wakati usije tena na mbinu za propaganda za wakati ule sababu sasa hivi Watanzania washapevuka kisiasa.
 
Mkuu, kama unajali alichopigania Dr. Slaa stand up and do something about it...
 
U seems like unajua mambo ya ndani sana ya slaa, kwa vijana wa aina hii nchi itakuwa maskini milele..!
 
Kajitakia mwenyewe.

He needs to read between the Lines atajua kwanini Lowasa kakaribishwa UKAWA kugombea uraisi pamoja na Mapungufu yote aliyo nayo.

Hata tunaomshabikia tunajua sio Msafi ila tunajipa moyo hakuna ushahidi.
 
Mda sio mrefu nyinyiemu mtaduwazwa kwa umbea wenu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa,

Poleni sana, ipiganieni sana ccm kuliko kulala mlango wazi!
 
Ha haaaa,duh...! Hii huruma na urafiki kwa Dr.Slaa imeanza lini kwa upande wako!!??

Mkuu, sidhani kama binadamu mwenye moyo anaweza kuacha kuguswa na kinachomsibu Dr. Slaa. Kama tulivyomhurumia Zitto hatuwezi kuacha kumhurumia Slaa. Lakini huruma pekeyake haitoshi, something more than just huruma needs to be done...
 
Kajitakia mwenyewe.

He needs to read between the Lines atajua kwanini Lowasa kakaribishwa UKAWA kugombea uraisi pamoja na Mapungufu yote aliyo nayo.

Hata tunaomshabikia tunajua sio Msafi ila tunajipa moyo hakuna ushahidi.

So mnakiri kuwa mnajua si msafi mnachohitaji ni evidence tu?
So niulize ili uinge ktk rekodi ya JF: ushahidi ukipatikana utaacha kumsapoti?
 
Mda sio mrefu nyinyiemu mtaduwazwa kwa umbea wenu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa,

Poleni sana, ipiganieni sana ccm kuliko kulala mlango wazi!

Unaonekana hujaelewa lengo la thread hii. Hatujadili matukio, lengo ni kuhamasisha watu wanaoamini kwenye uwezo wa Dr. Slaa kumpa nguvu ya kunyanyuka. Anyanyuke kwenda wapi? hilo litajibiwa na maarifa na ujuzi wake.

Slaa is defeated. Ameshakubali defeat. Hata hivyo lazima tujiulize, je waliomuunga mkono nao wamekubali defeat? Kama hawajakubali basi waonyeshe kwa vitendo kwa kumnyanyua Slaa aliyeangushwa.
 
Aliyekwambia secretary general wa CHADEMA ni ombaomba nani wewe?

Sometimes mnajitia aibu na thread zenu za ajabu kama hii.

Eti achangiwe!!
Eti ni jobless!!
Fanya yako achana na Katibu wetu.
 
Aliyekwambia secretary general wa CHADEMA ni ombaomba nani wewe?

Sometimes mnajitia aibu na thread zenu za ajabu kama hii.

Eti achangiwe!!
Eti ni jobless!!
Fanya yako achana na Katibu wetu.

Kiongozi acha mzaha. Katibu kashatoswa. Hukusikia kauli ya mwenyekiti?
 
So mnakiri kuwa mnajua si msafi mnachohitaji ni evidence tu?
So niulize ili uinge ktk rekodi ya JF: ushahidi ukipatikana utaacha kumsapoti?
Susuviri Tukiangalia msafi ndio agombee basi kwa Tanzania Hakuna aliye msafi hata wewe sio msafi.
 
Last edited by a moderator:
Kajitakia mwenyewe.

He needs to read between the Lines atajua kwanini Lowasa kakaribishwa UKAWA kugombea uraisi pamoja na Mapungufu yote aliyo nayo.

Hata tunaomshabikia tunajua sio Msafi ila tunajipa moyo hakuna ushahidi.
Si mtu wa njaa hadi ajidhalilishe kiasi hicho. Kwa wanaomfahamu, anaweza kuishi maisha mazuri na yenye furaha zaidi nje ya siasa.
 
Back
Top Bottom