John R.Kamanga
Member
- Aug 22, 2013
- 43
- 6
Apumzike tu huyo mzee, hiyo ndiyo demokrasia hata akiamua kuzungumza kwa sasa hakuna impact yoyote...na ameona Lipumba jinsi alivyopuuzwa...
CHANZO: NIPASHE
Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.
Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:
1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE
2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE
3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k
Jamaa anajua 'kucheza' na CCM waongeze dau...
Waliopigwa bao ni wanachadema, si Dr Slaa. Yameandikwa mengi humu kumkejeli, wengine wakiomba arudi kuungana nao, Umemsikia akisema lolote?Siasa za Tanzania zimemtenda vibaya sana Dr. Slaa. Apumzike tu na aachane na siasa kapigwa bao dk ya 90
CCM hawana mgombea. Wao wana Rais tayari.
Rais - lowassa
Waziri mkuu - Mbowe
Waziri wa fedha- Anthony Komu
Waziri wa afya - Gidbles Lema
Waziri wa nishati - Henry Kilewo
Waziri wa miundombinu - nassari
Waziri wa ofisi ya rais (tamisemi) Ole medeye
Waziri wa sheria na katiba - halima mdee
Waziri wa ardhi - John mrema
Waziri wa ujenzi - James Mbatia
Jamani tunauza nchi mchana kweupee.... Ikulu sio
kilabu cha mbege!
dr s. Anamaadili na anajitambua..... Kama 2010 mbowe na wabunge wa chadema walitoka bungeni wakidai dr silaa alishinda uchaguzi ila akaibiwa kuraa kwanini safariii hiii asiweze kushindaaa amaa walitudanganyaaa au deal la billion 10 ni la ukweli kwa kamanda wa angaa. Mzee wa mabisinessss
Namna nyingine nikuiondoa tu magogoniCCM lazima tuwaondoshe madarakani kwakuwa hakuna namna nyingine tena.
rais - lowassa
waziri mkuu - mbowe
waziri wa fedha- anthony komu
waziri wa afya - gidbles lema
waziri wa nishati - henry kilewo
waziri wa miundombinu - nassari
waziri wa ofisi ya rais (tamisemi) ole medeye
waziri wa sheria na katiba - halima mdee
waziri wa ardhi - john mrema
waziri wa ujenzi - james mbatia
jamani tunauza nchi mchana kweupee.... Ikulu sio
kilabu cha mbege!