Kaptula la Marx
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 981
- 449
hata wanaomsifia lowassa ni wale team lowassa na friends of lowassa wala wanachadema wala.msitudanganye.... hlo tumelijua, wakeleketwa wa chadema wanamlilia dr.slaa...
Ingekuwa hainihusu msomaji wasingechapisha...
na siku akiwaumbua kwa kusema maovu yote ya mbowe juu ya kuingia kwa lowassa kwa hati ya dhalula na kupewa nafasi ya kugombea urais itakuaje?
kama una ushahidi peleka mahakamani kama huna endelea kunyamaza kimya.lowassa akiwa waziri mkuu kawalaghai watanzania kwa kuleta kampuni feki ya kufua umeme au hlo ww hujaliona.... baada ya kukatwa jina na CCM katika kuwania urais, akainunua chadema na vibaka wake ote kwa tsh.bil.10 hlo ww hujaliona?
Hata David Beckham alijiona bab kubwa pale Man U kilichompata anakijua
Hawa watu wa suti nyeusi ni wakuangalia sana;
Inawezekana naye ameshapokea 3.5b/=.
........... Mpinzani aliyebaki kwa sasa ni Mbowe tu;tutaenda naye tu.
Sio kweli. Sasa hivi sisi wote tuko na Lowassa. Wanaomlilia Dr.Slaa ni CCM ambao ni wanafiki km wewe. Sisi tuko na Lowassa. Dr.Slaa alishagombea 2010 akaibiwa kura. Mwaka huu tumebadili gia angani. Tutalinda kura mpk dakika za mwisho
Mbowe ana umma , na umma ulishaandaliwa na Dr Slaa na chadema ndio maana unaona wameridhia mzee apumzikeHapo Mbowe pichu zinambana
CHANZO: NIPASHE
Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.
Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:
1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE
2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE
3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k
Taratibu za jumuiko ni maamuzi ya chama kama kamati kuu na Baraza kuu la chadema walipitisha maamuzi ya kumkaribisha Lowassa basi Mbowe hana cha kulaumiwa na mtu yeyeotena siku akiwaumbua kwa kusema maovu yote ya mbowe juu ya kuingia kwa lowassa kwa hati ya dhalula na kupewa nafasi ya kugombea urais itakuaje?
chanzo: nipashe
mytake: Kauli hizi za dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa chadema wanavyojribu kuwahadaa watanzania kuhusu sakata la mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika chadema. Sote tunaothamini mchango wa dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya dr. Slaa mwenyewe.
Kauli ya dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:
1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-freeman mbowe
2. Dr. Slaa kukutana na secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya ukawa-yeriko nyerere
3. Dr. Slaa atazindua kampeni za ukawa-john mnyika n.k
...kupata vichekesho vingine kama hivi tuma ujumbe wenye neno "VICHEKESHO" kwenda namba 15550 :bounce:CCM hawana mgombea. Wao wana Rais tayari.