Dr. Slaa hatimaye aibuka

Mawazo ya Watanzania kwa sasa yapo kuiondoa CCM kwa Goli la mkono na SI KWA DR SLAA....
 
Nikatibu anae lipwa mshahala mkubwa sawa na mbunge...ni katibu aliye jikopesha ruzuku ya chama, ni katibu aliye mpa mchumba wake cheo makao makuu ya chama
We kiazi hayo ndiyo leo unayaona kisa tu dr slaa anapingana na ufisadi wenu kumbuka slaa anapinga ufisadi wenu kamwe hataweza kuunga mkono ufisadi wenu.
 
Mkuu tangu Lowasa aingie CHADEMA huruhusiwi kumuita mtu FISADI bila kumpeleka mahakamani. Kwa hiyo kwa sababu Magufuli hakupelekwa mahakamani basi ni mtu safi tu.
Magufuli atakuwa mwenyekiti wa kwanza wa ccm ambaye hatakuwa raisi mjiandae kisakolojia maccm kukabithi nchi kwa amani kwa UKAWA
 
Ashachelewa sana na kama upo kwa ajili yake na sio UKAWA nenda kaishi nae nyumbani kwake.
 
Hata wewe ni mgonjwa bora hata Mbowe ameshapona wewe unaweza kupoteza hata maisha very soon.
Nyie mafisadi mwacheni mzee slaa na uadilifu wake nyie endeleeni na ufisadi wenu tena mkome kabisa kumwandama endeleeni na ufisadi wenu.
 
Kwanini hapokei simu? Bali anajibu sms tu, tena haraka. Huyo si Dr. Slaa.
 
Hahaaaa anahisi siasa mbet

Kawatuma wajekuandika haya ili ccm ipande day

Kwikwii
 
Tushamwambia hata hajiuzulu mbowe mabadiliko yapo pale pale aitheeee
 
Nyie mafisadi mwacheni mzee slaa na uadilifu wake nyie endeleeni na ufisadi wenu tena mkome kabisa kumwandama endeleeni na ufisadi wenu.
Nyie magamba mnacheza ngoma ambayo haiwahusu mwaka huu mtaisoma namba.mtajinyonga na kunywa sumu kwa sana.
 
Nyie magamba mnacheza ngoma ambayo haiwahusu mwaka huu mtaisoma namba.mtajinyonga na kunywa sumu kwa sana.
Mafisadi nyie mafisadi mliokubuhu kabisa kwa ufisadi nyie ni mafisadi papa.
 
Kama akipigiwa hapokei Bali SMS anajibu haraka ..mtakuwa na uhakika gani Kama Simu yake haijawa hacked ...au haipo mikononi Mwake na anayejibu ni Mtu tofauti
 
Toka lini wewe gamba umekuwa shabiki Wa Dr Slaa na CDM? Mtaweweseka sana mwaka huu lakini meli ya UKAWA imeshang' oa nanga na haiwezi kusubiri mtu.Mabadiliko hayawezi kusubiri mtu
 
Mbowe ni moja ya wenyeviti wa kuiga hapa nchini,aligombea uraisi mara moja tu na akamuachia Slaa sasa maskini huyu mzee alivyo na tamaa😱😱
 
Yote tisa. Kumi tukakague daftari la wapiga tuhakikishae majina yetu yapo. Kwingine majina ya wapiga kura hayaonekani kwenye mabandiko tena ni mengi. Tujihadhari mapema!
 
Toka lini wewe gamba umekuwa shabiki Wa Dr Slaa na CDM? Mtaweweseka sana mwaka huu lakini meli ya UKAWA imeshang' oa nanga na haiwezi kusubiri mtu.Mabadiliko hayawezi kusubiri mtu
Katika kupinga mafisadi tupo pamoja na dr slaa kwenye kupinga mafisadi kama wewe fisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…