Dr. Slaa hatimaye aibuka



Usanii in action... tusubiri mwenyewe aanike hadharani aliyonayo moyoni.
 
Ya dr. Slaa aachiwe mwenyewe muda ukifika atajibu. Kikubwa na wana ukawa kuungana pamoja kusukuma jahazi kuelekea ushindi. Sidhani hata leo dr. Slaa akija na kauli ya kukinzana na wenzake, kama watu watabadili msimamo wa mafuriko! Mafuriko yataendelea
 
Jamani naomba kuuliza hivi Magufuli ni mkatoliki?

Ndio mkuu. Ingawa kuna time mambo yake hasa ya kiafya yalienda halijojo akahamia kwa Walokole. Lakini ni Mkatoliki na anakutana na 'wazee wa baharini' once a week
 
Dr. Slaa ni Nyota ya ushindi wa Ukawa iliyozimwa kwa wingu jeusi.
 
Aangalie Sana, future yake as a politician inategemea anibukia wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…