Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania


Viva Dr. Viva forever CHADEMA October 2015, Unaenda Magogoni Bila UBISHI.

Ila uhakikishe Viongozi wote Mafisadi the Hague inawahusu.
 

Na kukuelimisha 'DHAMBI" siyo KUZINI tu.Je na wewe umsafi kwa kiasi gani?

Imeandikwa ..'USIHUKUMU USIJE HUKUMIWA' pole mwaya............
 
Acha kufuru.Padri mzinzi mpora wake za watu!!!! Una mwita hazina wakati analiza watu alipora wake zao? Na analiza mke aliyemtelekeza?

Ulivyoandika kwa hasira kama vile alimtelekeza mama yako,una hasiraaa.
 
Kamanda hivi UKAWA wasipomchagua Dr.Slaa mtavunja huo umoja wenu wa maghumashi?

Muuangano hautavunjika kirahisi udhaniavyo.
Mtasubiri saaaana matokeo yake magogoni hiyoooo.

Mjiandae kuwa kambi ya upinzani tu kwa miaka mitano then mnapotea kabisa kama ilivyokuwa KANU nchini Kenya.
 
Dr. Slaa kimyaaaa, akichungulia usanii wa wapinzani wake magamba. Subili tu wataujua mziki wa UKAWA October 2015.
 
Mkuu hivi tangu uchaguzi Mkuu mpaka sasa ni miaka mingapi imepita?je katika miaka hiyo chadema haiwezi kupata wana chama hao million 4?je chadema wakati wa uchaguzi Mkuu uliopita ilikuwa na wenyevit wa serikali za Mitaa wangapi?je Leo ina wangapi na kwa nini hilo huulizi?
 
mkuu kama Mungu angeonesha hadharani uchaguzi unaofanywa hadharani na viongozi wako wa ccm juu ya wake za watu na dada zake naamini ungeomba Ardhi ipasuke uingie
 
Kamwe nchi hii haiwez kutawaliwa na viongoz wa dini,padre au shekh wabaki kuwa tumikia waumin wao tu,ktk maisha yangu cjawahi kuckia Rais wa nchi yyte eti alikua Padre hyo haipo huyo nikiongoz ambae aptia viapo vingi na vizito mno vya dini yake vp cc wa dini nyingne c atatufanya kama mlinz wake Kagenzi alivo mfanya hatupo tyr kwa hayo cc watz
 

Unaleta udini na ukabila?
 
Tumpeni Dr. Slaa walau tuone km kuna mabadiliko ktk uongozi make vyama vinaanzishwa havipewi fursa ya kuongoza !! Ina maana gani basi? Tukibahatika kuondoa ufisadi tutakuwa tumefanya mapinduzi ya kweli#! Hakika hatutalalamika juu ya matumizi mabaya ya resources.
 
Watanzania wengi wanaimani na Dr. Slaa
 

Ueleweki kwani nchi hii aina viongoz wa dini?
 
Amepata mkuu Mimi na familia yangu kura zote ndio kwa Slaa

Mkuu ni aibu katika karne hii wewe kuwaamulia familia yako au subordinates wako nani wampigie kura, ruhusu mawazo huru kuanzia kwenye familia yako hadi kazini kwako. Ni haki ya kikatiba mtu kuchagua kiongozi yeyote kadiri ya utashi wake.
 
Mkuu ni aibu katika karne hii wewe kuwaamulia familia yako au subordinates wako nani wampigie kura, ruhusu mawazo huru kuanzia kwenye familia yako hadi kazini kwako. Ni haki ya kikatiba mtu kuchagua kiongozi yeyote kadiri ya utashi wake.
Hata familia wanamtaka Dr. Slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…