Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

Eti Lipumba na Slaa watasahaulika nahisi unaota mchana.. Kama hujui hao ndo viongozi ambao mtawakumbuka daima... Subir Oct ipite ndo utaelewa maneno yangu maana kwa sasa huwez elewa sababu mihemko na Ushabiki maana I umewatawala
Unategemea unawakumbuka kwa lipi, alipofariki Nyerere watu walisema CCM itakufa hadi leo ipo ingawa inachechemea.
 
Hivi kweli watz wamemuelewa Dr slaa?
Dr slaa kweli ametoa ujumbe aliotaka kutoa?
Km hatujamuelewa nn kifanyike, tumpuuze au atueleze upya?
Wachache mlioelewa mnatusaidiaje kuelelwa hoja zake.

kama Hujazielewa Hoja Za Dk Slaa ni Bora Uondoke Ndani Ya Jukwaa Hili... Hakuna Great Thinkerz Ambaye Anashindwa kuzielewa Hoja Zile
 
Wadau na washika dau wa UKAWA hongereni kwa kazi nzuri na Kampeni zenye mafanikio na za kistaarabu mpaka hapa.

Dr.Slaa ni tatizo lililotegemewa na nishukuru tu kuwa limejionyesha mapema kutupa muda wa kutosha kujipanga.

Kwenye hii vita Dr.Slaa hayupo upande wetu tena na hao ambao hawako upande wetu wako kinyume chetu.
Dr.Slaa jana amezungumzia silaha na vita; the old man wants a war and let us give him one!

Tatizo la Dr. Slaa ni kama kidonda kilichojitokeza juu kwaajili ya ugonjwa ulio ndani so we should treat it topically and systemically.Tukioshe kidonda,tukifunge ila pia sindano, vidonge na hata drip ikilazimu ni muhimu kwa ugojwa ulio ndani.

Dr.Slaa awe sababu ya kutuimarisha na sio kubabaisha umoja huu.Viongozi wa CHADEMA wafahamu kuwa diplomasia na Slaa imeshashindikana so stop being naive and personaly I don't like suprises,so we take them on and give them a campaign they never see before!

Once again into the frey, into the battle we will always be proud of,live or die on this day!

Umoja wenu uliosimamiwa na fisasi papa na fisadi nyangumi Rostam na Mengi wanaoshika remote ya mgombea wenu Lowassa?
 
Namjua Slaa ni mwongeaji mzuri anapoamua kupambana kwenye vyombo vya habari huwa hana staha hata kidogo, hivyo viongozi wa Chadema/Ukawa wasijaribu kumjibu au kupambana naye.

Wao waendelee na kampeni wawe kama hawakumsikia.

Slaa alikosea kuanza kuishambulia Ukawa yote ilitosha kusema najiondoa kwa vile tulipishana kimawazo na wenzangu, alichokifanya hakina tofauti na kampeni meneja wa CCM au ACT.

Cha msingi sasa ameonekana yuko upande gani watu wataanza kuyachukulia matamshi yake dhidi ya Chadema na Ukawa kama wanavyoyachukulia matamshi ya Nape au ya wapinzani wengine wa Ukawa.

Mkuu kama kaambiwa masharti ya "mpunga" aliopewa lazima aseme hayo asingeweza kuacha, uzuri kajitanabaisha kwamba ni yuda iskariot mwingine tena ana historia hiyo tangu kanisani mpaka kwenye jamii ya watanzania
 
Sisi tunasonga mbele tu na hawezi kutoboa Boti

Kujibu Hoja Za Dokta Slaa Kwa Majibu Haya ni kuonyesha kuwa Hatuna Uelewa bali tunaongozwa na Ushabiki... Nisalimie Kiva mandela na kweditiribe
 
Ijibiwe isijibiwe Lowasa ni Rais Wa awamu ijayo,hata mngefanya nini tumeamua tunataka mabadiliko
Khaa!! Ndiyo kazi yenu wanamabadiliko kutuelewesha sisi wapiga kura haraka kabla ya oktoba 25
A%20S%20shade.gif
 
Lipi ambalo limekuwa jipya na geni alilolisema Dr. ambalo halikufahamika kama si ndani hadi nje ya nchi?

Sana sana ni Lowasa kujiunga na waendesha boda boda badala ya wakubwa wazuri wa ccm. Is this an offence? Sheria gani inamhukumu Lowasa kwa kujiunga na CHADEMA bila wakuu wa nini kule sijui? Acha utani jamaa wewe.

Dr. Slaa akitamka kitu ndicho leo unakiona kuwa ni tamko la Mungu?

Aliposema orodha ya mafisadi mbona hamkuwafikisha mahakamani kwa hukumu kwa kuwa Dr. Slaa alisema?

Alipotetea umma mbona mlimvunja mkono na kumpa ulemavu wa kudumu kama mnamwamini ki hivyo?

Tanzania ni ya Watanzania na si ya ccm.

Kwa taarifa yako hotuba ya Dr. Slaa imewafanya watu waelewe kwamba ana hasira zake binafsi na si za nchi kwa kuwa tu viongozi wake waliamua kumpa ugombea Lowasa badala ya yeye. Hilo ni kosa gani kwa shiria ipi number ngapi ya mwaka gani chini ya katiba ipi?

Kama ccm mlijua lowasa ni mchafu kwa kuw aDr Slaa alisema, pia aliwasema kinakikwete n.k kwanini hamjawafungulia mafaili ya uchunguzi muwafikishe mahakamani ili wahukumiwe? Kwa mujibu wa katiba ya nchi ni nani kati ya Dr. Slaa, Wewe, Ccm na Mahakama wenye mamlaka ya kisheria ya kumtia mtu hatiani? Kwa nini mnashindwa kuwafikisha kwenye mahakama ili watiwe hatiani kwa mjibu wa sheria?

Hao unaosema wamesikia ni majuha wa wapi hao ambao watashindwa kuchambua suala lililodhahiri namna hii? Bila shaka watakuwa julmuiya na vichaa.

Kama Slaa alijua lowasa ni mchafu, na kwamba ni mgonjwa wa akili aliwezaje kumtongoza ahamie chadema? Kumbuka kwamba Slaa ndiye alilyeanzisha mchakato huu na yeye amekubali. Halfu leo aone Lowasa hafai kwa lolote na sisi tumuamini katika hil.


Na kwa hiyo unakubaliana na kila alichosema dr. Slaa, hata KWAMBA CCM NI CHOO NA LOWASA NI KINYESI KILICHOOPOLEWA KUTOKA CHOONI NA KULETWA SEBULENI.

KWA AKILI YAKO WEWE, UNAKUBALIANA NA HILI KWAMBA CCM NI CHOO CHA KILICHOJAA NA KAZI YAKE NI KUTUNZIA MAVI?

Kwa hiyo kuna mtu timamu anayweza kudiriki kusema ni afadhali akakae ndani ya shimo la choo linalonyewa mavi na kuyatunza akiogopa jivi moja lililoko sebuleni?


Hizo akili ni za ccm peke yake .

WATANZANIA NDIO WENYE NCHI, TUNAMPIGIA KURA LOWASA CHINI YA UKAWA NA KAMWE HATUTAKUBALI KULAZIMISHWA KUINGIA KWENYE SHIMTUO LA CHOO LINALOTUNZA MAVI KWA MASLAHI YA FUNZA WA CHOONI. HLO SAHAU.

IT IS OVER!. Tumechoka na hila za ccm na sasa tunakwenda kulizika rasmi 25 October.


Umechambua vizuri mkuu, na majibu murua yanayotosheleza. Halafu napendekeza mjadala hu ufungwe kwa manufaa ya wanaukombozi wote maana hauna afya! Tuendeleze mapigo mpaka hitimisho -25/10
 
kama Hujazielewa Hoja Za Dk Slaa ni Bora Uondoke Ndani Ya Jukwaa Hili... Hakuna Great Thinkerz Ambaye Anashindwa kuzielewa Hoja Zile
asante kama zimeeleweka
kama ndio hivo mbona watu hawachambui hoja wanaishia kusema piga ua yeye na ukawa tu
huo ni msimamo mi nakubali wala siupingi
lakini misimamo haituhusu sana humu ni uchambuzi wa hoja ndo muhimu
ukichambua hoja ukaweka msimamo wako ni sawa lkn hujachambua hoja unaweka msimamo tu tunashindwa kukuelewa kama ww kweli ni miongoni mwa great thinkers, great tankers au followers
nahisi uwanja umeingiliwa
 
Full stop.
 

Attachments

  • 1441182940845.jpg
    1441182940845.jpg
    37.9 KB · Views: 100
Swali langu kwa Dr. Slaa ni hili. Katika maelezo yake amesema hataki Taifa lipate kiongozi mbovu na ambae sio muadilifu. Sasa kwa wagombea wote walio katika mchakato huu ni Lowasa tu ndio mwenye shutuma za Rushwa na Ufisadi? Vp kuhusu yale mengine yanayosemwa ya uuzaji wa nyumba za serikali na Ripoti za CAG na 10% toka kwa makandarasi? Mbona hakuyaongelea? au haya hayatuhusu kuyafaham kwa undani? kama lengo lilikuwa ni kuwachambua wagombea na shutuma zao basi angekua fair na sio kumshambulia mtu mmoja. Why lowasa?????Tunapata mashaka.


Dr. Anasahau kwamba nchi haiongozwi na mtu mmoja. Magufuli atakuwa na akina nani zaidi ya mavi mengi yaliyochooni?
 
Sijuwi yule mama kampiga babu katereroooo style maana babu kachanganyikiwa kweli kweli hajitambuwi!
 
Germaa kajichanganya. Ila CCM nawasifu kwa mbinu moja ya kuwamaliza kisiasa ma super star kwenye siasa. wanakutumia kwenye jambo ambalo litakudhalilidha na kukushushia hadhi hongereni kwa hilo hata mzito kabwela siwalimmaliza hivyohivyo. kwishneiiii GERMADO KARATU
 
Dr. Slaa ni kama hana jipya.

Ilitosha kabisa kusema anajiuzuru siasa na kuelezea jinsi ambavyo mchakato wa kumpokea Lowasa haukumtendea haki. Naamini ameumia kwa hilo na ndiyo maana ameongea yote yale.

Pamoja na yote nayo bado hana madhara makubwa zaidi ya kujiandikia historian mpya kwa upande wake ya kuwa msaliti.

Dr slaa anamsimamo yeye anachukia mafisadi mmechukua fisadi papa kamwe hawezi kuungana na ninyi kwenye ufisadi huo.
 
Alaah!! Kama ndiyo hivyo mbona mapovu yalikuwa yanawatoka tulivyokuwa tunawambia Dr.Slaa ni mlaghai.


Nakukumbuka ndg yangu mpendwa Ritz, uliwatahadharisha kweli mkuu, sasa nadhani watakua wanatoa salute kimoyo moyo maana kusema wazi hawawezi, by the way sijakuona kule great thinkers muda kdg, vip ndg yangu kampeni zimepamba moto nn unakosa kamuda ka kujadiliana kwa kina na nduguzo?? Uje utujulie japo hali bana maana mm binafsi nimekumic.
 
DR anauchungu sana, kwani alizunguka nchi nzima, kupinga ufisadi.Sasa anaona kukaa meza moja na hao hao ambao alikuwa akiwapinga , itakuwa ni kumdanganya mungu.sasa UKAWA, fanyeni kazi ya kumsafisha Lowasa, ndipo muanze kunadi sera.
 
Back
Top Bottom