Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

Wanaccm tunamshukuru sana dr.slaa.ilikuwa kazi sana kumshawish kufanya kazi hii lakini kwa nguvu ya sabuni ya roho mambo yameenda safi na wanaccm sasa ni ushindi mweupe.
 
Ni lowassa Daima Dr Slaa endelea kubembeleza Mushumbusi na Jr
 
Dr Slaa ni lofa tu,kazi kukopa kopa visenti kwa Gwajima kila siku ndoa yake Ugomvi Gwajima ndo msuluhishi
 
Amenunuliwa Slaa acheni propaganda za uwongo.madudu yoote haya katika nchi hii yeye kawaita waandishi kwa ajili ya richmond kweli ? Tanzania itabaki kuwa masikini sana kama wasomi wetu ndio hao na hoja za kitoto kabisa hazina hata mashiko.

Hayo madudu yotee mbona simsikiii edo akiyaongelea,au yeye issue ya escrow yeye haijui?
 
Mm nimeshindwa kuelewa sijui Huyu docta wa wapi,ccm imemkaririsha halafu ikamkurupua kwamba twende ukasome na yeye akasahau kwamba yy ni docta mwana theologia akaja amechanganyikiwa matokeo yake ameishia kupata aibu na thamani yake kupotea,amepoteza kumbukumbu kabisa.amesahau mpaka katiba ya nchi hii inasemaje,aibu kabisa.
 
yeye mwenyewe mpigaji..ataongelea escrow?

Lowasa ni mtu wa kazi, akiingia ikulu utauona mziki wake, wapigaji wa escrow wajiandae lupango! Yeye ni safi na kasema mwenye ushahidi aende mahakamani na wote wamenywea kuanzia ngazi za juu mpaka chini!
 
Back
Top Bottom