sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,673
Babu kuchanganya maneno ni matatizo ya umri na msongo wa mawazo.
Na bado, anawaroll kotekote hahaha
Babu kuchanganya maneno ni matatizo ya umri na msongo wa mawazo.
Jana wakati umehitisha kikao na waandishi wa habari, tamko lako la kwanza ulilolitoa ni "KULAANI" vurugu zilizotokea bungeni juzi. Bahada ya kuongea sana bila kuwataja hao unaowalaani, ukamalizia maongezi yako kwa "KUWAPONGEZA" waheshimiwa wabunge ulioanza kwa kuwaani kwa kufanya vurugu bungeni.
Katika hali ya kawaida kabisa usingeanza na "KULAANI" Hii inaonyesha kabisa kwamba kuna vitu vimefanyika ambavyo si vizuri vilivyotakiwa kukemewa na jamii yote kwa ujumla. na wewe ukaona bora uungane na jamii kulaaani matendo maovu, Hapo swali langu kwako "Hao unaowalaani ni kina nani?"
Pia kuna hili la "KUPONGEZA" Hii inaonyesha kabisa kwamba kuna vitu vimekufurahisha, vizuri na vyenye manufaa na wewe kama kiongozi mkubwa wa chama ukaamua kupongeza na hapo swali langu kwako "Hao uliokuwa unawapongeza ni kina nani?"
Hapo sijaona jibu lenye fact hata moja mtaishia kubwabwaja na kutetea msichokijua.....!
Unamlaani Tundu lissu au Mnyika Then unampongeza Tundu lissu au mnyika............
Hapo ndipo babu aliponiacha hoi!!!!
Asilimia kubwa mnaobisha humu bunge hamfuatilii wala taharifa za habari....!Mingoi hahaa ID moja haikutoshi? unahangaika sana.. Nlivyomsikia alilaani kiti cha spika na naibu wake na ubaguzi unaoendelea bungeni.
Jana
wakati umehitisha kikao na waandishi wa habari, tamko lako la kwanza
ulilolitoa ni "KULAANI" vurugu zilizotokea bungeni juzi. Bahada ya
kuongea sana bila kuwataja hao unaowalaani, ukamalizia maongezi yako kwa
"KUWAPONGEZA" waheshimiwa wabunge ulioanza kwa kuwaani kwa kufanya
vurugu bungeni.
Katika hali ya kawaida kabisa usingeanza na "KULAANI" Hii inaonyesha
kabisa kwamba kuna vitu vimefanyika ambavyo si vizuri vilivyotakiwa
kukemewa na jamii yote kwa ujumla. na wewe ukaona bora uungane na jamii
kulaaani matendo maovu, Hapo swali langu kwako "Hao unaowalaani ni kina
nani?"
Pia kuna hili la "KUPONGEZA" Hii inaonyesha kabisa kwamba kuna vitu
vimekufurahisha, vizuri na vyenye manufaa na wewe kama kiongozi mkubwa
wa chama ukaamua kupongeza na hapo swali langu kwako "Hao uliokuwa
unawapongeza ni kina nani?"
Mkuu sixgates,
Mtafanyia wapi hayo maandamano?
Asilimia kubwa mnaobisha humu bunge hamfuatilii wala taharifa za habari....!
Dr. Slaa akiongea na waandishi wa habari alisema "Nalaani vurugu zilizotokea bungeni....."
Pia akasema "Nawapongeza wabunge wa nccr,tlp,chadema.........." hakuwataja CUF wala UDP ingawa alisema Wapinzani...!
Nashangaa wenye ID's ndogo mnajisumbua kujibu wakati ID's kubwa wamekaa kimya wameshaona ukweli wamekosa majibu wametulia.
Mkuu Ritz naona sasa hoja ya "watu wa dar hawana muda" umeiacha sasa hivi unaulizia maandamano yatafanyikia wapi. Nataka nikwambie tayari tumeanza kufuatilia vibali kutoka ubungo mpaka mwembe yanga. Kama kamanda Cova atathubutu kutunyima kibali, tutakichukua kibali kwa umma ambao ndio muajiri mkuu wao!
Siyo nimeicha nakusikiliza wewe...hakuna maandamano yeyote yatakayo fanyika Dar.