acha kusumbuka na hao jamaa waliotumwa kuja kuangalia upepomkuu usipotoshe, hukuwepo uwanjani. Kasema al adawi ni kivuli cha dowans kuwa hadaa watanzania-kwa nini unaacha kuwa mkweli "ndo maana waitwa maji taka"
Dowans inamilikiwa na Rostam Aziz... Kwakuwa JK ni jamaa yake Rostam na ni partner wake kibiashara na ni muongomuongo wote wawili Rostam na mkwere hawaaminiki.
Kusema asemwe mwingine, akisemwa fulani MASHIMO YA TAKA. Lakini pia hakusema ukweli pale alipotuambia kuwa kura zake zimechakachuliwa na idara ya usalama wa taifa
Kwani kuna tatizo Rostam akiwa mmiliki wa dowans kama utakavyo wewe?
Mbona Rostam ana makampuni mengi tu, ndani na nje ya Tanzania. Na kuwa na kampuni kama dowans ya mtaji mdogo tu, kwake si kazi. Kwako je?
UMETUMWA...mbona umetoka nje ya mada..(walewale)Kusema asemwe mwingine, akisemwa fulani MASHIMO YA TAKA. Lakini pia hakusema ukweli pale alipotuambia kuwa kura zake zimechakachuliwa na idara ya usalama wa taifa
Kwani kuna tatizo Rostam akiwa mmiliki wa dowans kama utakavyo wewe?
Mbona Rostam ana makampuni mengi tu, ndani na nje ya Tanzania. Na kuwa na kampuni kama dowans ya mtaji mdogo tu, kwake si kazi. Kwako je?
Ni bora aliye mvivu wa kusoma na kusikiliza kuliko aliye mvivu wa kufikiri. Kwa mawazo yako unadhani kila anayempinga Slaa ni CCM! Na kila anayemsapoti JK ni CCM. Fikiri japo kidogo, Mwakyembe ni CCM lakini hamsapoti Rostam ambaye ni CCM mwenzake. Je, sera za Mbowe na Zitto ni sawa? Acheni mapenzi ya ajabu. yanapunguza uwezo wa kufikiri. Kila kitu kwenu ni siasa tuuu!