Hukosoi chama tawala kwa kusema uongo na ufataani na kuhubiri uvunjifu wa amani.
Toa ushahidi... wapi, lini na nani na useme kilichozungumzwa cha uvunjifu wa amani. Hivi watu wakiambiwa kitu hiki kingetakiwa kiwe hivi (kuelimishwa) ni uvunjifu wa amani??? Ndo maana Serikali hii inatoa elimu duni tena kwa wachache (haiwezeshi) ili wananchi waendelee kubaki katika SIFAHAMU lengo lao asitokee anayehoji ili wabaki madarakani milele? Kumbukeni hakuna marefu yasiyo na ncha.. Mwisho wa utawala dhalimu wa CCM ni huu na inabidi wakubali tu.
Nafikiri Maarim Seif anajutia timing yake???
sure mkuu!Aisee!!ccm sikieni hata kama mtakiua chadema na dr slaa bado hamjajibu kero za wa tz..wananchi wana hali mbaya tatueni matatizo na sio kulumbana na cdm
KWELI hawa watu hawajajua kabisa maana ya upinzani na multi-party kwa ujumla.
Angalia USA pamoja na mambo mengi anayojitahidi kufanya lakini hutakosa kusikia maneno ya kejeli,chuki binafsi,vijembe n.k kutoka kwa wapinzani wake Republican.
Hilo ni swala la kawaida kabisa.
CCM walipaswa baada ya kuona na kusikiliza hizo hoja wazijibu kwa vitendo kama kupunguza mfumuko wa bidhaa,kuongeza mishahara kama China wanavyofanya kwa sasa.Huwezi kunieleza mshahara ule ule utakidhi mahitaji wakati zaamani nilinunua sukari 1600 leo 2200, petrol iko juu,nauli ziko juu ..je huyo mtu ataishije??Hapo ndipo serikali inapotakiwa ichukue hatua za haraka zaidi wala sio kuanza kulaumiana na CDM au watu wengine.Wenye matatizo ni wananchi wala sio CDM kama wananyotaka kusema.
Wajaribu kupunguza mishahara ya watu wakubwa kama wabunge,mawaziri etc wapunguziwe kabisa hiyo mishahara yao au wawekewe tax kubwa zaidi na hizo pesa ziende moja kwa moja ku-subsidize wale wenye low income ,hili linafanywa na nchi za wenzetu na limeonekana kuwa linafaa sana.
Ukweli ni kwamba kuna income gap kubwa kati ya rich and the poor na hapo social instability haiepukiki lasivyo wawasaidie hao wasiojiweza.
This can be done wihout affecting other social development projects.
Dr Slaa anasema chama chochote cha upinzani kazi yake sio kukipigia makofi serikali iliyoko madarakani bali ni kuikosoa pindi inapoenda mrama kwa hiyo tangu miaka 50 ya uhuru haijatokea chama kukukosoa ama kuonesha kutokuwa na imani na serikali yao kama nchi zingine zinavyofanya pindi serikali inavyofanya hovyo na kutowajali raia wake.
Kutokana na chadema kuanza kuonesha izo movement kwa vitendo imewafanya waanze kuingiwa na hofu na badala ya kujibu hoja zao wao wanawaachia polisi ili iwazibiti pamoja na msajili wa vyama.Dr Slaa amewaambia huo ni mwanzo na wataendelea mpaka wawatoe watanzania gizani dhidi ya serikali yao na wala hawatishwi na lolote.
My take;
Kweli ccm inaongozwa na vipofu wasiojua watokapo na waendapo iweje washindwe kujibu hoja za chadema na pia baada ya kushauriwa wa Sumaye naye wamempinga. Hawa sio viongozi bali bora uongozi
Nawasilisha
Kama kweli huuoni ukweli katika kinacho semwa basi huna tofauti na ZOMBIE, au wewe ni ZombieHukosoi chama tawala kwa kusema uongo na ufataani na kuhubiri uvunjifu wa amani.
Hukosoi chama tawala kwa kusema uongo na ufataani na kuhubiri uvunjifu wa amani.
Mkuu huyo jamaa {maji}inawezekana hajalielewa somo.ila afahamu ya kuwa mtu msafi asiye na kosa siku zote haogopi kitu chochote,knyume chake sasa ndiyo km hao ccm kwani wakijitazama yote yasemwayo na BRAVESwa chd yanawahusu:uongo upi?DOWANS ni uongo? hamkuiba kura nyie? ovyooo