Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Mohamedi Mtoi,, asante kwanza kwa kutokuwa na jazba na uwezo wa kufafanua hivyo ndivyo inavyotakiwa kwa vijana wanaokipenda chama chao.. toeni ufafanuzi kwa staha bika matusi kama ulivyofanya,,,, maana wengi tumekosa ukweli mambo mengi ya chadema,, ukiiuliza humu unaambiwa wewe si maCCM chadema inakuhusu nini,, utafikiri kwenye kupiga kura lazima uwe mwanachama ,,, kwa sasa CDM iweke mazingira hata ya kupigiwa kura na CCM ,,mimi nimepiga kura toka 1995 lakini sijapata kupenda chama japo kwa mbaali nilipenda CUF
mohamed mtoi=
ENYI MLIOAMINI! MSIWAFANYE MAYAHUDI NA WAKRISTO KUWA MARAFIKI (WA KUWAPA SIRI ZENU); WAO KWA WAO NI MARAFIKI. NA MIONGONI MWENU ATAKAYEFANYA URAFIKI HUO NAO, BASSI HUYO ATAKUWA PAMOJA NAO. HAKIKA MWENYEZI MUNGU HAWAONGOZI(NJIA YA KHERI) WATU MADHALIMU.
slaa,yericko nyerere,ben wa 8 namakafiri wengine unaowapa siri zako je wamesilimu?
kafiri ni familia yako na ukoo wako,laana ya mababu zako imekukalia utalaaniwa hapa duniani mpaka mbinguni wewe,mwabudu nyota na mwezi.shame on you
mohamed mtoi=
ENYI MLIOAMINI! MSIWAFANYE MAYAHUDI NA WAKRISTO KUWA MARAFIKI (WA KUWAPA SIRI ZENU); WAO KWA WAO NI MARAFIKI. NA MIONGONI MWENU ATAKAYEFANYA URAFIKI HUO NAO, BASSI HUYO ATAKUWA PAMOJA NAO. HAKIKA MWENYEZI MUNGU HAWAONGOZI(NJIA YA KHERI) WATU MADHALIMU. 6:51 qur-ani
slaa,yericko nyerere,ben wa 8 namakafiri wengine unaowapa siri zako je wamesilimu?
kafiri ni familia yako na ukoo wako,laana ya mababu zako imekukalia utalaaniwa hapa duniani mpaka mbinguni wewe,mwabudu nyota na mwezi.shame on you
Wewe kauzu kweli nakujibu kutokana na majibu yako wewe umeongelea malezi yangu nani alinilea?
Msalimie Josephine na Junior kauzu wewe.
Mkuu.
Kama ndio uwezo na upeo wako wa kuitafsiri Quran umeishia hapa basi unahitaji kurudi na kusoma upya kujijalizia maarifa.
Na unapo sema siri unamaanisha siri zipi?!
1) Si kazi yangu kuwahubiria Waislam wajiunge chama kipi cha siasa.
2) Wote wanafik.
3) Kila mtu uzuri wake ni ucha Mungu wake, awe Muislam awe Mkristo. Sio leo unazini na mke wa mtu, kinyume na mafundisho ya vitabu vyote, halafu wanafik wakuone wewe wa maana kwa kuwa umetoa salaam za Eid.
Huo ni unafik na kudhihaki wacha Mungu.
Wewe kauzu kweli Uislam ni dini inayojisimamia yenyewe wala Uislam hauitaji mtu kuutangaza Uslam ni dini inayokuwa kwa kasi duniani kila pembe ya dunia Uislam unaota mizizi wala Uislam haitaji upendwe na wanadiki kama nyie wa Chadema kila siku Uislam unatukanwa humu JF upo kimya watu wakiwajibu povu linawatoka...ukiona Muislam anapendwa na maadui wa Uislam jiulize mara mbili.
1) Si kazi yangu kuwahubiria Waislam wajiunge chama kipi cha siasa.
2) Wote wanafik.
3) Kila mtu uzuri wake ni ucha Mungu wake, awe Muislam awe Mkristo. Sio leo unazini na mke wa mtu, kinyume na mafundisho ya vitabu vyote, halafu wanafik wakuone wewe wa maana kwa kuwa umetoa salaam za Eid.
Huo ni unafik na kudhihaki wacha Mungu.
...Ritz anasema ninyi akina mama mkilea watoto peke yenu, watoto wanakuwa wanafiki. Ni kweli?
Teh teh teh majibu mujarabu kabisa haiwezekani mtoto wa zinaa hakawa na heshima.Kweli, watoto wasiojuwa baba zao utawajuwa tu, wewe unamjuwa baba'ko au baba zako?
Kama mlivyowalipua wafuasi wenu kule Arusha kwa mabomu na kuwamwagia tindikali raia kule Igunga....duh, unahasira! samahani mkuu, bado napenda kuishi - usije ukanilipukia.
Huyo kafiri anakusifia wewe nakupa muda jiulize na kutafakari kwa nini wewe makafiri wengi wanakupenda.Hebu fanya comperative analysis uone majibu yako naya huyo hapo juu uone yanatofauti gani. Sasa huyo anaweza kujifunza jema lipi kutoka kwako ili limnufaishe kama sio wote mtaonekana mna ukame wa maono?!
Kweli, watoto wasiojuwa baba zao utawajuwa tu, wewe unamjuwa baba'ko au baba zako?
Teh teh teh majibu mujarabu kabisa haiwezekani mtoto wa zinaa hakawa na heshima.
Huyo kafiri anakusifia wewe nakupa muda jiulize na kutafakari kwa nini wewe makafiri wengi wanakupenda.