Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Foreign aid is a form of slavery which creates a false sense of entitlement. It confines a beggar into a psychological and mental prison of his own creation, becoming incapable to make any meaningful decision of his own. He does not think on how to get out of his difficulties as long as he knows that, someone somewhere will help him.

Pigia mstari hayo maneno hapo juu, kwani si kwa taifa tu bali na wale wanaolala sebureni ka fagio kwenye majumba ya mashemeji na wajomba zao.
 
Nakala ya post hii imfikie Le Mutuz popote alipo .
 
he's a true leader.....viva Dr Slaa!!!
 
Huyu babu ninashindwa kumuelewa sifa anazozipa Rwanda kila kukicha wakati inajulikana fika gharama ya maendeleo ya Rwanda kwa nchi ya Congo na ustawi wa watu wake.Dr Slaa ni kwa jambo lipi analokufurahisha Kagame?
 
Babu atakuwa alinyimwa hela za msaada akaamua liwalo na liwe
 
Hv kikwete anaweza kuandika anglau hotuba fupi maana akiongea kwenye jukwaa anatia aibu.
 
Hv kikwete anaweza kuandika anglau hotuba fupi maana akiongea kwenye jukwaa anatia aibu.

Ifikie kipindi twende angalau against our opinion and feelings
Kwa kuwa wawazi na kuacha ushabiki...kikwete n rais na anatambulika kimataifa,Dr slaa n kiongoz wa chama lazima tofaut iwepo na isitoshe n upinzan kwa hyo anachoongea si kigeni ila kusifia nchi nyingne kwa interest zako binafsi n zaidi ya uhaini..
OK ndo viongoz wetu na siasa zetu za kishabiki zimetufikisha huko
 
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii

Wewe ni mnafiki usijua. Nadhani una darsa dogo sana. Uzuri wa speech ni content. Kasome ujue.
 

Hotuba ni nzuri sana na kila Mtanzania au mwana Africa mwenye akili timamu atapenda kuisikia. Tatizo moja linalonitatiza mimi ni hivi viongozi wa kiafrika wakiingia madarakani husahau yote hayo mawazo mazuri. Mpaka tunashindwa kutofautisha. Pili mimi najua kuna mchezo mchafu ambao hufanywa na mataifa ya magharibi ili tuendee kuwategemea kwa kutuibia mali zetu. Kwaiyo Slaa angalie.
 

What a remarkable speech!!!...
It is the great speech ever since the last speech of our Father of nation Late Julius Nyerere...
He spoke like the President.
 
What a remarkable speech!!!...
It is the great speech ever since the last speech of our Father of nation Late Julius Nyerere...
He spoke like the President.

huyu DR SLAA kiukweli ndiye mtu sahihi kabisa anayestahili kuongoza nchi hii .
 
Mungu tunakushukuru,kumshusha dr.slaa hapa Tanzania
dr.slaa for presdency
 
Mungu tunakushukuru,kumshusha dr.slaa hapa Tanzania
dr.slaa for presdency

Nimesoma speech mingi sana, sijawahi ona speech mzuri kama ya huyu jamaa wa tz. Dr. Slaa ni mutu mungu ameleta kutoka juu kuokoa watu ya Tanzania. For real huyi mutu ametoka kwa mungu. Speech mazuri sana
 
Nimesoma speech mingi sana, sijawahi ona speech mzuri kama ya huyu jamaa wa tz. Dr. Slaa ni mutu mungu ameleta kutoka juu kuokoa watu ya Tanzania. For real huyi mutu ametoka kwa mungu. Speech mazuri sana

Ni kweli jirani!
 

So you'll continue to groom the maggots who is persistently thriving on rotten packed ass club.
 
Dr.Slaa ni mtu makini sana kwa kweli.
Nice speech.
Wale wataalamu wa lugha wangefanya jambo la maana kama wangeweza kuipa tafsiri katika lugha ya taifa ili iweze kusambazwa hata mashule ya chini iwe kama rejea ili kuwapanua wigo wa kuelewa watanzania walio wengi. Na hakika kuna watu wakipata tafsiri sahihi ya hotuba hiyo ndio watamuelewa vema Dr Slaa ni nani na kujuta makosa yao ya 2010.
 
Kwa kawaida Dr. Slaa siyo mtu wa kukurupuka. Ni mtu makini anayeongea kwa data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…