Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Toka lini huyu mzee ametambua haya

"Tanzania is one of the most blessed countries on the face of the earth. It has abundance of natural wealth, and for those who understand the world history, know that the best game parks are in Tanzania. It is the place believed to be the cradle of mankind"

ukiona vyaelea .........
 
According to my opinion all arguments should be based on the speech that has been delivered by Hon SLAA not his personal life.
 
Seriously mkuu, nazungumza nikimaanisha kwamba hii hotuba ni ya kawaida kabisa, ukitafuta first year yoyote wa sheria anaweza andika vizuri kuliko jinsi hii hotuba ilivyoandikwa...kama mwenye phd anaandika vibaya hivi, sina haja ya kutafuta hiyo phd...

Ni ya kawaida? Swali wewe jidhanie u panya unaweza kujitoa mhanga kumvisha paka kengele tena ukiwa kwenye kibanda chake? Kwa mfano huu irudie kuisoma kati ya mistari utaelewa ujumbe uliyomo,kisha angalia sehemu ilikotolewa.NAWASILISHA
 
speech imetulia sana.kwa sisi tunao tambua maana ya speech nadiriki kusema imetulia.
hakupaswa kutoka speech Kali au ambayo ni so harsh ukizingatia alikuwa Ana Wa address ma students.
ingekuwa ni UN au baraza LA congress then speech ingezidi hapo ki maudhui .
 
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii

Wakikuwekea audio version ya hiyo "speech" si ndiyo ungetapika kabisa?

Jamaa hawezi kuzungumza kiswahili wala kiingereza.

Watching paint drying is more exciting tham listening to him.
 
Ni hotuba nzuri sana, na ninaamini watanzania wote werevu wangependa huyu ndie awe rais wao.
 
Dr Slaa is presidential material and speech attests to this. Not a beggar like the others.

Mods. Tafadhalini muiweke hii speech kwenye sticky hapo juu. Hii ni kitu hadimu kila mtu anafaa kusoma. Dr. Slaa is the Moses of our times.
 
mods kama mnataka pesa kuiweka hapo si mseme tutawapa
 
raisi ajae safi sana!! sio yule gamba anaewaonea huruma !! mafisadi..ongera slaaa.
 
Back
Top Bottom