Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Yaani huu uzi ni kucheka tu mipasho na facts wapi na wapi
 
Mkuu, na vipi hotuba ya Rais kutaja vijembe na maneno ya kwenye kanga kama ile hotuba ya Mwezi uliopita ya JK?????

...haifai, lakini atleast ilifanyika ndani ya nchi, ila kufanya hivyo nje ya nchi ni mbaya zaidi...Unajua ukimwambia mtu mwenye akili kuwa Rais wetu ni mjingamjina, picha atakayoijenga ni kuwa Tanzania ni Taifa la Wapumbavu,kwa sababu kama wangekuwa na akili wasingemchagua Rais mjinga sio mara moja tu bali kwa awamu mbili..., hiki ndicho alichokifanya Dr Slaa, kuidharirisha Tanzania na Watanzania wenyewe ...
 
...Sasa linganisha hotuba ya Dr Slaa nchini Marekani na hotuba hii aliyoitoa Zitto Kabwe nchini Ujerumani, ya Zitto imebeba Utanzania, yaDr. Slaa imebebea "UChadema na Umimi" bila ata kujali ata kama ni kwa kuidharirisha Tanzania na Utanzania........
 
nyerer alisema ccm mmekosea sana kumuacha dr slaa akaenda upinzani atawasumbua sana na atakuja kuwa raisi yule kijana...kingine angalau chama chenye mwelekeo ni chadema...
Mambo yalitabiriwa haya
 
Hakika baada ya kuisoma na kuielewa hii speech..nilichogundua ni wajibu wangu kwenda kulipia kadi yangu kwa mwaka huu 2013..Dr Slaa Mungu akubariki.
 
Only Great thinkers can understand this speech,he spoke sense in each and every paragraph,very few politician can deliver a speech with those contents,if u judge him and not the contents its where many are misleading,bravo Dr slaa am going to print this for the future uses
 
Hapa unapaswa kujadili hotuba, we mwenyewe waweza kuwa mzinzi ila hautendi hadharani
 
Big result now with no investment. Ni heri usiige kuliko kuiga vibaya, badala ya kufanya elimu imsaidie mwanafunzi amalizapo masomo tunataka matokeo ya ufaulu bila kuwekeze. Very poor idea halafu kuna ma profesa na wataalam wa wizara.
 
Hii ni zaidi ya hotuba! ni mwongozo wa taifa letu hakika. Nakumbuka hotuba kama hizi zilikuwa za Mwalimu JK Nyerere kwa mataifa aliweza kusema matakwa ya nchi na watu wake bila kujipendekeza ili apewe misaada.
Kwa wanaoiponda nadhani wai kopi waisomea kwa muda muafaka wakiwa wametulia na bila chuki vichwani mwao
 
Hakuna kitu hapa,unazi tu umetawala,ni sawa na hotuba ya Mwigulu nchemba.
 
all in all, tey are great speeches from great people
 
Sometime inabidi tuache unazi kama Simba na Yanga na tufungue macho na masikio ili tuone ukweli..

Kama wewe unayo akili timamu na ni mswahili masikini kutoka Afrika, Tanzania, Tanganyika, kijijini Nachingwea, Tarime n.k lazima utaelewa hiyo hotuba..

Lakini kama wewe ni shabiki nazi wa Chadema au CCM na hujui kwanini unashabikia CCM au Chadema zaidi ya kupata makate wako wa kila siku basi nakuambia hautoelewa kamwe hiyo hotuba hata kama Mola atakuja duniani kukuelewesha..

Som pia kitabu cha Dambisa Moyo " Dead Aid" Why Aid is Not working and How there is better way for Africa. link hiyo...Dambisa Moyo | Dead Aid

Ningeshauri..Hotuba kama hizo za kidhungu ziwe pia katika tafsiri ya kiswahili, kimakuwa, kigogo, kingoni etc....kwani wengine wanaponda kutokana na kutoelewa lugha ya kigeni...
 
Hivi hii hotuba mbona sijasikia DW na BBC swahili wakiijadili make ni kubwa sana kutoka kwa Mwafrika katika karne hii na hapa naweza pata picha ni kwanini Dr. alitembelea Nasa na kadharika ...hatuitaji tena unequal trades za vyandalua kwa almasi ,tunataka equal win kwa kutumia rasirimali zetu.
 
This is one of the best speech ever,delivered by Tanzania opposition political leader abroad...........Bravo Dr Slaa,as you said i quote....

"I am not here for foreign AID,and CHADEMA party which i represent DOES NOT BELIEVE ON FOREIGN AID.
This is my party's philosophy, and any sane human being would not want to live off handouts or going around begging,because foreign AID is only NEEDED AS SHORT TERM RELIEF for countries coming out of calamities.

Truly,i like this.
 

Namie hapo hapo nilipokuja kumuona Dr.Slaa ni mwanaume,mwamba wa Tz na mkombozi wa watz.I have never heard a great speech like this since mwl Nyerere decided to step down! I do appreciate Dr Slaa,let Almight God bless him for long life time
 
Kuna mtu nilimsikia akisema, ziara yangu ilikuwa ya mafanikio sana. Serikali imekubali kutusaidia vitabu vya sayansi. Jamani!!! Aibu kweli kweli kwa shida gani tulizo nazo.
 
Hotuba imekwenda shule hiyo baba. Ipe tano hata magamba wanaikubali ila hawawezi kusema wazi wazi.
 
Kuna mtu nilimsikia akisema, ziara yangu ilikuwa ya mafanikio sana. Serikali imekubali kutusaidia vitabu vya sayansi. Jamani!!! Aibu kweli kweli kwa shida gani tulizo nazo.
Buy the books off them , stop beging ,shit. Ask them to supply and bring the invoice back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…