Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Siko hapa kuomba kwa sababu najua kua nchi yangu ni tajiri. Na misaada haiji kirahisi, huja kwa kusaini masuala yauwekao utaifa wetu rehani.... Ya pili hiyo naiweka moyoni
 
"Tanzania ni moja kati ya nchi zilizobarikiwa zaidi juu ya Uso wa dunia"
Ya tatu hiyo.
 
"Tanzania ni nchi kubwa na tajiri. Ina utajili wa tamaduni na Watu wenye utajiri mkubwa miyoni mwao"
 
Misaada ni kodi zenu, ni jasho lenu,ilipaswa itumike kuwanufaisha ninyi sio kusaidia Watu waliokalia utajiri wao.
 
Tazama babu anavyodanganya tena hapa:



Babu, hauna msaada kutoka nje? vipi kuhusu CDU, (Chama cha Kikristo cha Ujerumani?), unapinga kuwa hawawapi msaada?
 


I am Speechless, Huyu Mzee ni Noumer, sio Mipasho ya Nimeambiwa...Nimefahamishwa
 

Ulitaka akupole wewe...acha kutoka povu.
 
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii
Unadhani january makamba angeweza kuandika kwa uzuri zaidi? Mwandishi si mweledi wa kutosha, kuna hata gramatic errors. Hutuba zilikua za mwalimu nyerere. Zilikua kabambe in substance and language; sio mchezo.
 
Hii hotuba hii!! Ni ya Africa kwa ujumla mwafrika yeyote anayejua afrika tumejaaliwa rasilimali.Ataka kujua Dr.Slaa yuko koje na yupo wapi Tena ulinzi uimarishwe zaidi juu yake ziara hii moja aliyoifanya Dr.Slaa ina Manufaaa zaidi ya ziara 50 alizozifanya JK. Hakika Hotuba hii ni ya kuprint Maana hotuba imeshiba.Mungu akubariki Dr.Slaa. Hapa yupi wa kusimama na Dr.Slaa TZ 2015?????????????
 
#westgatemall Nmesoma signature yako nimezidi kukuelewa zaid kwamba wewe ni miongoni mwa vilaza mnaotegemea kutoKa kwa migongo ya watu nakufananisha na yule mdudu anaesubir ng'ombe anye kisha ajizungushe apate chakula yur amoung them
huwez soma speech ya slaa wewe elimu huna,huna uelewa basi kama hujui soma hata picha huoni??
 

We nyepesi kuliko huu utumbo ulioandika??nyinyi vijana wa Lumumba mlioishia la pili B mnamatatizo nna shaka na nyie juu ya uweledi wenu
 
Dr. slaa there you are.
The most wanted speech in the world.

I reckon the speech as a well articulated one from one of the prominent political figures in african continent in particular and else where in the world.

"The most important tool we need is the development of human capital".

With this we can actually manipulate the world into our own favor and reduce dependency to a large scale through the work of our hands and knowledge so far.
 
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nilifahamu siwezi kuwakosa kina faiza fox et al khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wanawashwa kweli kweli na wanasiasa wanaowaweka kutwa kucha na kukosa usingizi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…