The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
This was an illusion ambayo walitaka wananchi warudishe imani kwa Serikali wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi but poor them nothing has worked so far zaidi ya kuleta second hand tractors ili wafanye biashara na kuwadanganya wakulima ambao hawajui lolotekuhusu kilimo kwanza ili wapate kurahivi ni kilimo kwanza au dowans kwanza? Kipi kinapewa uzito? Kulipwa dowans mara moja au uo uongo wa kukipa kilimo kipaumbele?