Rev.Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,553
Hamad Rashid aijia juu CCM Mbeya
ALIYEKUWA kiongozi wa kambi ya upinzani katika bunge lililopita Hamad Rashid ameishambulia serikali iliyopo madarakani kwa kushindwa kutumia fursa ya nchi jirani za Zambia na Malawi ili wananchi wa Mkoa wa Mbeya wanufaike kibiashara.
Alisema Serikali ya CCM imekuwa na katiba mbili ambapo katiba ya kwanza ni ilani iliyowekwa kwa wananchi hadharani na nyingine ya kuwatetea mafisadi na kuwafanya wananchi kuwa maskini zaidi ya umaskini huku matajiri na mafisadi wakiwa na kasi zaidi ya utajiri.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni wa vyama 10 vilivyoungana vikiwepo vya CUF, APPT- Maendeleo, Sau ,TLP UPDP, DP uliofanyika katika eneo la Mwanjelwa, Rashid alisema wananchi wa mkoa huu wanapaswa kunufaika na uwepo wa nchi jirani za Malawi, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kwa kufanya biashara pasipo na bughudha kwani mafisadi wengi ni wafanyabiashara wanaofanya nchi za nje.
Alishangaa wakazi wa Mbeya kuendelea kuipenda serikali ya CCM ambayo imezuia uuzaji wa mahindi nchi jirani.
Pia alisema anawashangaa wakazi wa Mbeya kuendelea kuipenda Serikali ya CCM ambayo imeua viwanda vya sabuni Mbeya, viwanda vya zana za kilimo Mbeya na kusababisha ukosefu wa ajira kwa vijana wengi.
Hamadi alisema licha ya kuwa na rasilimali nyingi kama vile Nikel, Shaba na madini mbalimbali pamoja na kuwa moja ya mkoa maarufu kwa uzalishaji wa chakula maarufu kama Big Four kwakuwa na vyakula vingi, lakini bado wananchi wa mkoa huu hawana maendeleo, wamedumaa bila hata ya kutaka mabadiliko kutokana na ufisadi wa serikali ya CCM.
Alisema Mkoa wa Mbeya uko nyuma kimaendeleo na kwamba vitu ambavyo vingesaidia katika kuinua uchumi wa wananchi wa mkoa huu ni pamoja na viwanda na barabara lakini viwanda hivyo vilishafungwa na kuwaacha wananchi wakiteseka kwa kukosa ajira huku wachache wakiwa wananufaika .
Wananchi wanaopata umeme kwa nchi nzima ni asilima 13 tu wakati asilimia 10 ndiyo watu wanaopata mikopo benki, lakini kati ya hao ni wale waliokaribu na viongozi walioko madarakani"alisema.
Hamad aliwataka wakazi wa mkoa huo na Watanzania kwa ujumla kutomchagua mgombea wa CCM, kuanzia udiwani hadi urais kwa sababu ya kushindwa kuwaonyesha upotevu wa pesa za bajeti asilimia 30 zinazopotea kila mwaka.
Wananchi acheni kudanganywa na CCM kutokana na kauli ya Rais Kikwete katika uzinduzi wa jengo la Takukuru kuwa asilimia 30 ya bajeti ya serikali hupotea hovyo hovyo, hivyo kuamuru kitengo hicho kufuatilia kwa makini, lakini hakuna chochote walichokifanya, alisema Hamad.
Hamadi alisema kitendo kilichofanywa na vyama vya upinzani mkoani hapa kwa kujiunga pamoja ndio njia pekee iliyofanyika Zanzibar ili kukiondoa Chama Cha Mapinduzi madarakani.
Alisema tatizo lililopo nchini ni katiba mbovu inayowanyima wananchi kukosa maamuzi ya kuweza kutatua matatizo yanayowakabili likiwemo la rushwa kwa kuwakamata mafisadi na kuwanyima haki walionayo ya kuamua kugombea bila kuwa na chama.
SOURCE: MWANANCHI
Dr. Slaa,
Majuzi ulilazimika kusimama kwenye kampeni ukatufungulia maisha yako na mahusiano yao na mchumba wako Bi. Josephina.
Hii ilikuwa ni nia wako kuweka sawa kile ambacho CCM wameanza kukifanya cha kukupata tope la kutokuwa muadilifu kwa kuangalia mahusiano yako na Bi. Rose na Bi. Josephina.
Umeshatoa jibu moja na linatosha. Hauna haja ya kuendelea kutoa hadithi hii au ufafanuzi wa ziada kwa mtu yeyote yule tena.
Lakini, katika majibu yako na kufafanua kwako mahusiano yako ya kiunyumba/ndoa, uliingia kwenye mtego uliotegwa makusudi.
Ulijibu hoja kwa kuwahoji Yusuphu Makamba na Kingunge Ngombare Mwiru na kuwahoji maisha yao na mambo walioyafanya kama vile kuonyesha kuwa wao nao si Waadilifu au hawana mamlaka ya kuongea kuhusu uadilifu.
Mheshimiwa Dr. Slaa, Makamba na Kingunge au yeyote yule wa CCM ambaye si Kikwete si wagombea Urais na hawana lolote lile la maana na wapuuzie bila kupoteza muda wako kujibishana nao.
Wewe unayeshindania naye urais ni Kikwete, he should be your Target and not the attacj dogs.
Sasa hawa wanakuchezea mchezo ule ule waliomgfanyia Salim, nawe tafuta attack bulldogs wako washambulie haya mengine na wewe ubakie kufanya Kampeni za kujinadi wewe na Chama chako na ni nini mtafanya kwa Tanzania.
Aidha kampeni zako ziwekeze kuchambua miaka mitano ya Kikwete na miaka 50 ya CCM hususan miaka 20 ya mwisho na si maisha binafsi ya mtu.
Angalia sana unaweza potea muda jibishana na Makamba mambo ya Udaku ambayo si presidential material nawe ukapoteza nguvu na nafasi ya kuwaambia Watanzania kwa nini KIkwete na CCM hawafai.
You are presidential candidate, with presidential image and credibility, stivk to presidential status and do not allow any one to Swift boat ypu the way Kerry was Swift boated in US elections of 2004 ending up spending a whole heck of time and campaign time fighting Swiftboaters and not addressing the incompetencies of George Bush.
Attack Kikwete on his leadership and his failure to bring progressive development to Tanzania.
Nilisema,ninasema na nitarudia kusema kuwa Dr.Slaa anaelekea kufilisika kisiasa...anajichimbia karibu lake mwenyewe.just imagine ma week mangapi yamepita toka campaign zianze...actualy ni muda mrefu bt cha kushangaza huyu jamaa mwenye Ph.D ya Divinity hanadi sera wala ilani(manifesto) ya chama chake...yeye ni kupiga zogo na mipasho majukwaani...alianza na makamba,akaja Kinana,then Pinda na mzee wetu Mkapa...jamani wana CHADEMA kama mpo(coz mm sina chama jamani) mwambieni SLAA anadi sera coz we are not interested na mipasho yake and his marriage saga la sivyo heshima yake itazidi kushuka....
=======Kijana Mkweli,
Sio kwamba Slaa anapiga domo tuu, bali media zinaandika habari kwa angle hiyo tuu kwani ndizo habari zinazouza gazeti. Na kumbuka ownership ya vyombo vingi vya habari ni mali ya CCM, sasa unategemea vitampa airtime ya kueleza sera zake?
RevDr. Slaa,
Majuzi ulilazimika kusimama kwenye kampeni ukatufungulia maisha yako na mahusiano yao na mchumba wako Bi. Josephina.
Hii ilikuwa ni nia wako kuweka sawa kile ambacho CCM wameanza kukifanya cha kukupata tope la kutokuwa muadilifu kwa kuangalia mahusiano yako na Bi. Rose na Bi. Josephina.
Umeshatoa jibu moja na linatosha. Hauna haja ya kuendelea kutoa hadithi hii au ufafanuzi wa ziada kwa mtu yeyote yule tena.
Lakini, katika majibu yako na kufafanua kwako mahusiano yako ya kiunyumba/ndoa, uliingia kwenye mtego uliotegwa makusudi.
Ulijibu hoja kwa kuwahoji Yusuphu Makamba na Kingunge Ngombare Mwiru na kuwahoji maisha yao na mambo walioyafanya kama vile kuonyesha kuwa wao nao si Waadilifu au hawana mamlaka ya kuongea kuhusu uadilifu.
Mheshimiwa Dr. Slaa, Makamba na Kingunge au yeyote yule wa CCM ambaye si Kikwete si wagombea Urais na hawana lolote lile la maana na wapuuzie bila kupoteza muda wako kujibishana nao.
Wewe unayeshindania naye urais ni Kikwete, he should be your Target and not the attacj dogs.
Sasa hawa wanakuchezea mchezo ule ule waliomgfanyia Salim, nawe tafuta attack bulldogs wako washambulie haya mengine na wewe ubakie kufanya Kampeni za kujinadi wewe na Chama chako na ni nini mtafanya kwa Tanzania.
Aidha kampeni zako ziwekeze kuchambua miaka mitano ya Kikwete na miaka 50 ya CCM hususan miaka 20 ya mwisho na si maisha binafsi ya mtu.
Angalia sana unaweza potea muda jibishana na Makamba mambo ya Udaku ambayo si presidential material nawe ukapoteza nguvu na nafasi ya kuwaambia Watanzania kwa nini KIkwete na CCM hawafai.
You are presidential candidate, with presidential image and credibility, stivk to presidential status and do not allow any one to Swift boat ypu the way Kerry was Swift boated in US elections of 2004 ending up spending a whole heck of time and campaign time fighting Swiftboaters and not addressing the incompetencies of George Bush.
Attack Kikwete on his leadership and his failure to bring progressive development to Tanzania.
Rev
This is crap, tell it to the babies; so far Dr Slaa is doing very perfect!! Haanzishi attacks, bali anajibu mapigo that is what he is supposed to be doing! What the hell do you think he has to be doing? One issue[rumour] spoken hundred times will be taken as truth. Who has to answer on behalf of Dr? He is doing it very well and perfect! For your information, if you are following, he has completely silenced Mr. Makamba aka Kasuku.
Bravo doctor, tell it to the birds!! Do it briefly as you are doing, and we will finish it!! God bless you!!
Makamba hastahili kujibiwa hata na mbwa... hadi aconfess issue ya kubakaHivi Chadema wana nani anayefanya kazi ya kupiga domo wakati huu wa kampeni kama CCM walivyokuwa na Makamba?
Makamba alitakiwa ajibiwe na mtu mwingine Chadema mwenye kazi hiyo (level ya Makamba) na sio Dr Slaa ambaye anagombea uraisi.
Mpaka wakati huu namsikia Dr Slaa peke yake....where is the team?