Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Sasa tunaisubiri ofisi ya Rais ipate hati safi kwa matumizi ya pesa za wavuja jasho. Hivi mara ya mwisho ilipata hati safi lini?
 
Ofisi ya Rais wa Tanzania, labda baada ya miaka 50 Ijayo
 

Vipi kuhusu ujio wa CAG kuja kukagua?
 
Fedha za CCBRT ni za umma. Fedha za CHADEMA ni za umma. Kwa wezi wazoefu kama CCM wangeiba kila kitu. Waadilifu wa aina ya Dr. Slaa hawawezi - kama hakuiba za CCBRT hata za CHADEMA hawezi kuziiba.
 
mwambie aendelee kukupa nyeti zote ila asisahau yafuatayo: kurudisha milioni arobaini ya chama aliyojikopesha ili akarabatie nyumba yake sinza, atoe taarifa ya bastola kule igunga, atoe taarifa ya IPAD iliyohongwa mwamke na makene,asubirie kidogo aone alivyodanganya kuwa yeye ni dr, baada ya hapo utaendelea kuona ubora wake pia ile kadi ya ccm aliyolipia miaka thelathini airudishe asidanganye kuwa ni mali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…