Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Mkuu hebu fafanua kidogo amevunja rekodi ya usimamizi wa fedha za CHADEMA au CCBRT? maana hapo kwenye red na blue panachanganya kidogo

Ni rekodi ya Usimamizi wa Fedha Zinazotolewa na Washirika Wa Taasisi Yake.
 

Inabidi alitaka atonywe kwanza ili aweke mahesabu vizuri kabla uchunguzi haujaanza? Hili halijamvunjia rekodi pia?
 
na rekodi nyingine babu aliyoivunja mi kuwa mzee wa kwanza kuwa na mchumba wa uzeeni ambaye ni mke wa mtu.

Usipende sana mipasho ndugu,jaribu kuomba angalau upate hekima kidogo.
 
Magwanda kwa uongo, mnanuka.

Hii ndio kama ile habari ya uongo ya eti Slaa kapewa tuzo ambayo hajapewa mtu mwingine isipokuwa Rais wa USA na NASA!

Kutazama vizuri, kumbe kibeji ambacho ni souvenir ya kawaida kwa yeyote atembeleae NASA.

Wacheni uongo, unawamaliza hamjijuwi.
 
Ni wa kuiga kabisa , hasa kwa kuiba wake za watu, kuzaa uzeeni, kutelekeza mke wa ndoa, kutelekeza watoto, kupinga ufisadi wakati ukijikopesha vyama, mi nasema aigwe tu.

japokuwa mi elim yang ni ndogo lakin post kama hizi ni za kipuuzi sana,we huna madudu tena zaid ya haya au kwa sababu hayajulikan na ni siri yako..'kabla hujatoa kibanzi jichoni mwa mwenzako kwanza toa boriti jichon mwako' post km hizi huwa zinaniboa sana,siasa gani uchwara hizo.,aaah.!!
 

Mkuu hivi hakuna award kwa Makatibu wakuu wauaji wa Tembo Africa ???
Je kama ingekuwepo, Nani angeibuka Kidedea ???
 
Ni wa kuiga kabisa , hasa kwa kuiba wake za watu, kuzaa uzeeni, kutelekeza mke wa ndoa, kutelekeza watoto, kupinga ufisadi wakati ukijikopesha vyama, mi nasema aigwe tu.

Wewe nae watakulipa kina Nape? Maana naona umepost ya kujazia post za siku ili ukapate posho yako,ndio maana post zenu tuliowengi tunazipuuzia,unaposema Dr Slaa alimtelekeza mke wa ndoa ni yupi huyo?kanisa gani na nani aliwafungisha ndoa hiyo.eti katelekeza mke wa ndoa,upuuzi huu unatoka kwa wapambe wa maccm na kundi la mungiki wa zzk
 

Kapewa na maccm hilo linajulikana.
 
Huyu ndiye kiongozi tunayemtaka,tunayempenda,tunayemwamin

ccm............pisha njia
 
kwa kweli DR SLAA anastahili tuzo kwa namna anavyotupatia sifa kubwa na heshima sisi watanzania mbele ya jamii ya kimataifa , tunakushukuru sana DR , Mungu akupe maisha marefu .
 
kilichofanya aache upadri na kuingia kwenye siasa ni___?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…