Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Nani anamsifia nani... wa kumsafisha dr slaa ni CAG peke yake. Ngoja vyama vikaguliwe na ripoti ifike pale mjengoni. Mh mbowe atavalishwa kanga for sure. Maana anavyopenda kutaka wengine wajiudhuru. Tutaona kamati kuu itamchukulia hatua gani. Jiandaeni kulia zaidi ya pale mliposhindwq mahakamani na zzk
 
Yaani huyo mzee anafanya kazi pale CCBrt kwa kutumia fani gani !? Hana utaalamu wa uongozi. Wala sio mhasibu pale ... sasa yeye pale ni political figure tu. Sasa ni kweli hizo sifa anazistahiki kweli. Ila mbona anashindwa kuing'oa CCM ?!
 
wewe unajua kaz ya m/kit? au unafikir na ccbrt haina mwenyenayo km cdm! tungempongeza km angekua mkurugenz mtendaj lkn kwa m/kit n kumpa sifa zisizo mstahir! atuambie matumiz ya chama yakoje km kiongoz wa kisiasa
Mahesabu ya chama kaulze kwa CAG, cdm hawana account Berlin kjna...!!!
 
Ndyo tatizo lenu MAGAMBA
 
Yaani huyo mzee anafanya kazi pale CCBrt kwa kutumia fani gani !? Hana utaalamu wa uongozi. Wala sio mhasibu pale ... sasa yeye pale ni political figure tu. Sasa ni kweli hizo sifa anazistahiki kweli. Ila mbona anashindwa kuing'oa CCM ?!

Wewe ndy unasema pumba kabisa,kwani nani kasema Dr Slaa ni mhasibu CCBRT!,Kwahiyo mtu kuwa mwenyekiti ni mhasibu?
 
Bravo our presidaa. Cc Ritz, chama, ZemaMarcopolo, rejao et al
 
Great! Kama ndivyo nampongeza sana kwa kazi nzuri. Tanzania na Afrika tunahitaji viongozi kama hawa waadilifu na wenye uwezo wa kusimamia mali na taasisi zetu kwa ufanisi.
Tujiulize usimamizi wa fedha ndani ya chama chake ukoje?
 
Na mengine awe muwazi zaidi tuzid kumuamini
 
Dk slaaa hakuna kama yeye miccm hiihabari kwao ni mkuki moyoni
Kweli mkuu ccm uadilifu ni mama mkwe.Nchi hii ina fedha nyingi lakini zina ishia kwa mafisadi.Kagame aliwahi kusema Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar ange waambia wanananchi wake watapata bure huduma zote mhimu.
 
Rwanda hata Mwanza ni kubwaa
 
Safi sana Dr. Slaa! piga kaz baba wanafiki weng 2! lkn 2naamin kuwa CDM tuko imara!. NB=Sio m2 unamchambua upande m1 angalia na upande chanya! kwan viongoz wa ccm wangap wamevunja recod za ufisad?
 
sasa hivi huyo kilaza yuko wapi
 
hakuna ukweli katika ili,tuwekee list ya wanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…