Dr Slaa atoa salamu za Mwaka mpya...

Dr Slaa atoa salamu za Mwaka mpya...

I Like his speech. Gwajima striked the balance to welcome our potential presidetial candidate. We havr been hearing EL too much in that church and was wondering what a big share he has and where does he get moral authority with richmond scandals....
 
Magamba Wakilisikia Jina La Dr Slaa Wazimu Unawapanda! Wanatia huruma sana,tuwaombeeni mapepo ya wizi na rushwa yawatoke wamurudie muumba waachane na shetwani ccm
 
I Like his speech. Gwajima striked the balance to welcome our potential presidetial candidate. We havr been hearing EL too much in that church and was wondering what a big share he has and where does he get moral authority with richmond scandals....

Pamoja sana Kamanda Mutakyamirwa
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio msakatonge unaejifungia kwenye vubuyu vya lumumba naona ile ruzuku yenu hakuna tena sasa mnafikiria kuiba wapi?

Mkuu umetika nje ya mada, nyie ndiyo hamfai kabisa kama fuso tu 600m je mkiongia madarakani si balaa?
 
Hivi kutokea Epa Richmod dowance escrow na mwaka huu mtakuja na nini kama siyo kuangamiza taifa
 
Kamanda Chademakwanza nimecheka sana.Naona unawapa za uso tu

Kamanda Molemo hawa jama wameishiwa mpaka mawazo huwezi amini eti mtu anatumwa atengeneze vipeperushi vya wongo kwenye serekali za mitaa vyakumchafua. Kamanda lakini nimeamini chadema ni mpango wa Mungu maana wameshindwa kulipa hela walio kubaliana sasa wanaanza kushikana manyoya
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri Dr Slaa,Mungu akulinde ukaliongoze taifa letu kwa haki na usawa.
 
Kamanda Molemo hawa jama wameishiwa mpaka mawazo huwezi amini eti mtu anatumwa atengeneze vipeperushi vya wongo kwenye serekali za mitaa vyakumchafua. Kamanda lakini nimeamini chadema ni mpango wa Mungu maana wameshindwa kulipa hela walio kubaliana sasa wanaanza kushikana manyoya

Ni kweli Kamanda.Chadema ni mpango wa Mungu.Kuamini hilo tizama jinsi wasaliti wanavyovurugana huko ACT.
 
Back
Top Bottom