- Thread starter
- #21
Slaa anatoa salamu kanisani slaa ni mdini sana
Kwa hiyo Makamu wa Rais Dr Bilali aliyeshiriki mkesha wa Wakristo uwanja wa Taifa naye ni mdini sana?
Slaa anatoa salamu kanisani slaa ni mdini sana
Kwa hiyo hizo salamu ametoa kwa wakristo peke yao
Ilikuwa nzuri sanaaa
Na Salamu alizotoa Dr Bilali uwanja wa Taifa nazo ni za Wakristo tu?
Kwa nini padri slaa atoe salam kanisani huu ni udini wa hali ya juu sana.bilali ni muislam kwenda kanisani ameonyesha uungwana
Unaonyesha wazi wewe ni mtu mpuuzi tu.Baada ya kugundua wewe ni mpuuzi kwa ulichoandika usitarajie nikujibu tena!
Slaa anatoa salamu kanisani slaa ni mdini sana
Hapo Slaa mzinzi na mchungaji mzinzi hapo wame mechi.
Wewe mbona unapumuliwa kisogoni hatusemi? kwasabu tunajua wewe ndie unaeumia,toa kibanzi jichoni kwako kwanza ndio useme yawengine
Gwanjima hajavunja ndoa ya mtu? Slaa hajavunja ndoa ya mtu? Sasa unachotetea nini?
Hapo Slaa mzinzi na mchungaji mzinzi hapo wame mechi.
Umesahau kuwa hata wewe ni tunda la zinaa? Kwani baba yako halisi unamjua?Hapo Slaa mzinzi na mchungaji mzinzi hapo wame mechi.
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amelaani ubadhirifu na wizi wa mali ya umma unaoendelea serikalini.
Akihutubia waumini wapatao 70,000 katika mkesha wa mwaka mpya kwenye viwanja vya Kanisa la Ufufuo na Uzima vilivyopo Kawe, kiongozi huyo amesema maovu mbalimbali yanayotokea ni kwa sababu ya watu kumsahau Mwenyezi Mungu na kumgeukia Shetani.
Dr Slaa amesema ni aibu kubwa kwa Taifa kukumbwa na kashfa mbalimbali zikiwemo wizi wa Fedha za Escrow,Meremeta,Epa nk.
Kiongozi huyo mwenye ushawishi mkubwa nchini alialikwa na Kiongozi wa Kanisa hilo Mchungaji Josephat Gwajima kuwa mgeni Rasmi katika mkesha huo wa mwaka mpya.
Katibu Mkuu huyo pia alitumia nafasi hiyo kuwatakia Watanzania heri na baraka tele katika mwaka huu mpya wa 2015 wenye changamoto mbalimbali.
Hotuba ya Dr Slaa anayetarajiwa na wengi kuwa Rais wa Awamu ya Tano iliwapa hisia kali maelfu ya waumini hao na kukuta wakimshangilia kupita kiasi kila baada ya maneno machache.
Kwa hiyo Makamu wa Rais Dr Bilali aliyeshiriki mkesha wa Wakristo uwanja wa Taifa naye ni mdini sana?
... Ulitaka Atolee Nyumbani Kwenu?
.... Tunashukuru Rais Wetu