MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
WILBROAD kampora BWANA MUSHUMBUSI, na GWAJIMA kampora MBASHA!
Wafuska wamekutana!
Wafuska wamekutana!
Umesahau kuwa hata wewe ni tunda la zinaa? Kwani baba yako halisi unamjua?
Huyu mtu ni muhimu sana watanzania tumsaport kwa kua anamawazo na moyo wa kutuôgoza,.uwezo wake na umakini wake.Heshima kwako dr slaa
Kamanda Molemo naona magamba wamemsikia Dr wanahaha sasa
safi sana rais wa mioyo ya watanzania; bravo kiongozi makini wetu
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people." (Eleanor Roosevelt).WILBROAD kampora BWANA MUSHUMBUSI, na GWAJIMA kampora MBASHA!
Wafuska wamekutana!
Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity. (Martin Luther King Jr.)Hapo Slaa mzinzi na mchungaji mzinzi hapo wame mechi.
Haoni aibu madhambi yote haya aliyonayo hata kuongea mbele za watu.
Tena kageuza ikulu sehemu ya kufutuliaSlaa anatoa salamu kanisani slaa ni mdini sana
Hii ndo ccm bwana,mwaka huu tutaendelea na hii hii au tutakuja na nyingineWILBROAD kampora BWANA MUSHUMBUSI, na GWAJIMA kampora MBASHA!
Wafuska wamekutana!
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amelaani ubadhirifu na wizi wa mali ya umma unaoendelea serikalini.
Akihutubia waumini wapatao 70,000 katika mkesha wa mwaka mpya kwenye viwanja vya Kanisa la Ufufuo na Uzima vilivyopo Kawe, kiongozi huyo amesema maovu mbalimbali yanayotokea ni kwa sababu ya watu kumsahau Mwenyezi Mungu na kumgeukia Shetani.
Dr Slaa amesema ni aibu kubwa kwa Taifa kukumbwa na kashfa mbalimbali zikiwemo wizi wa Fedha za Escrow,Meremeta,Epa nk.
Kiongozi huyo mwenye ushawishi mkubwa nchini alialikwa na Kiongozi wa Kanisa hilo Mchungaji Josephat Gwajima kuwa mgeni Rasmi katika mkesha huo wa mwaka mpya.
Katibu Mkuu huyo pia alitumia nafasi hiyo kuwatakia Watanzania heri na baraka tele katika mwaka huu mpya wa 2015 wenye changamoto mbalimbali.
Hotuba ya Dr Slaa anayetarajiwa na wengi kuwa Rais wa Awamu ya Tano iliwapa hisia kali maelfu ya waumini hao na kukuta wakimshangilia kupita kiasi kila baada ya maneno machache.
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people." (Eleanor Roosevelt).
Swali kwako, je wewe huna dhambi? Ondoa kwanza boriti ndani ya jicho lako ndio umnyooshee mwenzio kidole...na ulaaniwe wewe pamoja na vizazi vyako vyote...
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people." – (Eleanor Roosevelt).
hivi wewe ndio katibu wa nyumbani wa dk slaa
Thanks for sharing Mkuu.