- Thread starter
- #61
Mungu anaona na atawezesha muda utakapotimia tena bila kucheleweshwa hata sekunde moja na mikono ya wanadamu wanaopinga.
Sala ya mnyonge anayedhulumiwa haki zake siku zote inajibiwa na Mungu aliye hai!
Mungu anaona na atawezesha muda utakapotimia tena bila kucheleweshwa hata sekunde moja na mikono ya wanadamu wanaopinga.
Rais wa WAFUSKA!
This thread is about the new year's greetings from Dr Slaa but from nowhere you've come up with your nonsense, sir!Re-read the heading and content, who is discussed here?
WILBROAD kampora BWANA MUSHUMBUSI, na GWAJIMA kampora MBASHA!
Wafuska wamekutana!
ngoja tuone kama atapita mwakani maana
Haoni aibu madhambi yote haya aliyonayo hata kuongea mbele za watu.
Huna akili nzuri, manake hujui hata maana ya dhambi.Haoni aibu madhambi yote haya aliyonayo hata kuongea mbele za watu.
WILBROAD kampora BWANA MUSHUMBUSI, na GWAJIMA kampora MBASHA!
Wafuska wamekutana!
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amelaani ubadhirifu na wizi wa mali ya umma unaoendelea serikalini.
Akihutubia waumini wapatao 70,000 katika mkesha wa mwaka mpya kwenye viwanja vya Kanisa la Ufufuo na Uzima vilivyopo Kawe, kiongozi huyo amesema maovu mbalimbali yanayotokea ni kwa sababu ya watu kumsahau Mwenyezi Mungu na kumgeukia Shetani.
Dr Slaa amesema ni aibu kubwa kwa Taifa kukumbwa na kashfa mbalimbali zikiwemo wizi wa Fedha za Escrow,Meremeta,Epa nk.
Kiongozi huyo mwenye ushawishi mkubwa nchini alialikwa na Kiongozi wa Kanisa hilo Mchungaji Josephat Gwajima kuwa mgeni Rasmi katika mkesha huo wa mwaka mpya.
Katibu Mkuu huyo pia alitumia nafasi hiyo kuwatakia Watanzania heri na baraka tele katika mwaka huu mpya wa 2015 wenye changamoto mbalimbali.
Hotuba ya Dr Slaa anayetarajiwa na wengi kuwa Rais wa Awamu ya Tano iliwapa hisia kali maelfu ya waumini hao na kukuta wakimshangilia kupita kiasi kila baada ya maneno machache.
Slaa anatoa salamu kanisani slaa ni mdini sana
Upako unaotoka hapo kwa watumishi wa Mungu, walio very serious; Dr. Slaa amani iwe nawe
Huko kanisani walimkaribisha, au unasemaje tena!?
Slaa ni rais wa tanzania hutaki unaacha hamia somalia kama hutaki
Mwanaume rijali hawezi kuporwa mke.. acha kuropoka na domo lako kubwa chapati hukunji.nashangaa magamba mkitukana himu jamvini moderators wana watizama tuu badala ya kiwapiga BAN. .Dr Slaa ni sawa na baba yako sio heshima kumtukana baba yako.hata kama ni ushabiki au njaa basi yako imezidi.
So switch your self bro!
Mungu aliye Juu ya yote na muweza wa mambo yote hata yale tusiyoyaweza akuongoze ung'ae zaidi katika 2015
Slaa ni rais wa tanzania hutaki unaacha hamia somalia kama hutaki
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amelaani ubadhirifu na wizi wa mali ya umma unaoendelea serikalini.
Akihutubia waumini wapatao 70,000 katika mkesha wa mwaka mpya kwenye viwanja vya Kanisa la Ufufuo na Uzima vilivyopo Kawe, kiongozi huyo amesema maovu mbalimbali yanayotokea ni kwa sababu ya watu kumsahau Mwenyezi Mungu na kumgeukia Shetani.
Dr Slaa amesema ni aibu kubwa kwa Taifa kukumbwa na kashfa mbalimbali zikiwemo wizi wa Fedha za Escrow,Meremeta,Epa nk.
Kiongozi huyo mwenye ushawishi mkubwa nchini alialikwa na Kiongozi wa Kanisa hilo Mchungaji Josephat Gwajima kuwa mgeni Rasmi katika mkesha huo wa mwaka mpya.
Katibu Mkuu huyo pia alitumia nafasi hiyo kuwatakia Watanzania heri na baraka tele katika mwaka huu mpya wa 2015 wenye changamoto mbalimbali.
Hotuba ya Dr Slaa anayetarajiwa na wengi kuwa Rais wa Awamu ya Tano iliwapa hisia kali maelfu ya waumini hao na kukuta wakimshangilia kupita kiasi kila baada ya maneno machache.
Anatarajiwa kuwa rais wa nchiz?!