Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
hizi hekaya zinazidi kuwadhalilisha. uzuri ni kwamba JF inawafikia watu wachache sana hapa tanzania na wale wengi wanaoipata JF akili zao zina uwezo wa kuchanganua mambo walau kidogo.
propaganda za kitoto haziwezi kuubadilisha ukweli na kamwe ZZK hawezi akalinganishwa na mangi yeyote wala kibaraka yeyote wa mangi ndani ya chadema.
let him shake his tail(slaa) and leave behind the shit trail. when ZZK comes, he will wipe it off and for good. mnamtuma babu mzinzi kwenda kupima kina cha bahari kwa kutummbukiza miguu yote miwili!!! he is sinking and he will never make it...
after all, you chagaz are using him(slaa) and when the test of his flesh is no longer, you will dump him.
'''' mtumwa mzuri ni yule asiyefahamu kuwa yeye ni mtumwa""
Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread
Kikosi cha ulinzi kutuko BAVICHA kimeshawasili?
Vipi mipango ya kumdhuru Alex Kitumo imefikia wapi?
Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Poleni sana.
Msafara wa Dkt. Slaa ndo unakatiza hapa Kigoma mjini, ishara ya vidole viwili inatanda kila mahali na maneno ya ''Dkt. Slaa huyo huyo...Chademaaaa....Chademaaaa''.
Msafara unaelekea Jimbo la Kigoma Kaskazini Mkutano wa Kwanza utakuwa Nyarubanga, kisha utaelekea mkutano wa pili.
Updates.....
Ndo twawasili Nyarubanga hapa. Akina mama wamejipanga barabarani pembeni kdg ya uwanja wanaimba kumpokea Katibu Mkuu Dkt. Slaa. Msafara umeshaingia uwanjani.
Red Brigade wako imara kweli kweli leo hapa. Wananchi wanasogea sogea. Naona ngoma hapa inachezwa na akina mama.
Updates No 2:
Dkt. Slaa anaingia kucheza ngoma na wenyeji hapa. Ngoma hii inachezwa na kikundi cha ngoma cha akina mama wa CHADEMA kuhamasisha wananchi kujiunga na CHADEMA hasa akina mama na vijana.
Naambiwa inaitwa Denga. Wananchi wanashangilia kumuona Dokta anaungana na akina mama kucheza Denga!
Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread
Halafu anakuwa ameshindiliwa bulletproof kibao!
Maneno makubwa hayo, wenye busara tu ndo wanasoma na kuelewa. Hawa hawaelewagi MaCCM. Kazi kwelikweli Ben!Kama amepata shida sana si ndio ingekua furaha yenu? Kuna sababu gani ya kutoa ushauri ambao utazima furaha yako na wenzio?
jk ni rais anayelindwa na majini!Unataka kumfananisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete na kijidokta cha kanoni kilichoshindwa kuongoza kondoo na badala yake kudandia wake za watu? Unanchekesha!
mtu aliyeharibu mpaka kanisani kweli unathubutu kumwitta anahekima kama kweli kashindwa kufanya kazi kanisani hadi kafukuzwa hekima zake ziko wapi mkuu kwa nini usiwe mkweli tujifunze kuujua ukweli na kuukubari pia.
Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread
Si bora yeye kuliko yule aliyejaladia hadi ulinzi wa majini kwenye kampeni za urais 2010? Nimekumbuka jinsi Kiongozi wa Brigedia ya ulinzi wa Majini alivyotishia hadi wagombea urais wengine kuwa atakayempinga JK atakufa ghafla......
hate in your heart will consume you too,sio kosa la wachaga kuwa mkoa na kabila lako mko nyuma kielimu na maendeleohizi hekaya zinazidi kuwadhalilisha. uzuri ni kwamba JF inawafikia watu wachache sana hapa tanzania na wale wengi wanaoipata JF akili zao zina uwezo wa kuchanganua mambo walau kidogo.
propaganda za kitoto haziwezi kuubadilisha ukweli na kamwe ZZK hawezi akalinganishwa na mangi yeyote wala kibaraka yeyote wa mangi ndani ya chadema.
let him shake his tail(slaa) and leave behind the shit trail. when ZZK comes, he will wipe it off and for good. mnamtuma babu mzinzi kwenda kupima kina cha bahari kwa kutummbukiza miguu yote miwili!!! he is sinking and he will never make it...
after all, you chagaz are using him(slaa) and when the test of his flesh is no longer, you will dump him.
'''' mtumwa mzuri ni yule asiyefahamu kuwa yeye ni mtumwa""
Eleza mlivyopanga kujidhuru wakati mnatekeleza mission yenu.Wewe upo Dar unawasiliana nae na kupanga mipango ya kitoto.Hata wewe binafsi unajua unafiki wako unavyokumaliza.
Ni pigo beyond recovery!
...
Jamani mwenye sifa tumpe sifa yake wakuu, Mimi toka nimefatilia kwa karibu hekima, maarifa na siasa za Dr.Slaa, ninathubutu kusema huyu Mzee ni miongoni mwa Simba(Wakombozi) wa Africa, Dr.Slaa ni mwanasiasa hasa, Ni jemedari na Kamanda mpiganaji aliye jasiri mithili ya Steve Biko na mwenye muono mithili Cout Camilo cavour wa Italy.
Mungu ampe maisha marefu sana Kamanda wetu na hakika Historia itakuandika na kukumbuka kama shujaa wa haki mwenye ujasiri na kweli aliyeshuka zama hizi....
..well noted Kamanda!!!!