Tunahitaji kupata hotuba zinazoishi kama hizi..sio za kila mwezi zinazokwenda na matukio. Mara nimembiwa, nimeambiwa, nimeambiwa, nk.
kuna mtu humu humu ndani nimemshauri kama kweli yeye ni Ant-CDM basi akosoe na ile speech
Speech imeenda shule sio ile ya kwenda kuomba net na ukiulizwa kwanini nchi yako ni maskini useme hata mimi sijui
Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu. Nasema hivyo kwa sababu, sipendi kuamini kuwa Mheshimiwa Mbunge amesema yale kwa kutokufahamu ukweli au kwa bahati mbaya. Amesema yale kwa makusudi mazima ya kupotosha ukweli ili pengine isaidie kujenga hoja yake ya kutaka Rais asiteue wale Wajumbe 166 wa Bunge Maalum.
Source: Hotuba ya Rais Kikwete ya mwisho wa mwezi Septemba kwa Taifa - wavuti.com
Mkuu...Speech hiyo imetulia...it is patriotic...objective...short and clear....Kizuri chajiuza bana...Ma CCM wengi hawawezi kujadili content ya Speech...
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!