Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 4,777
- 4,329
Acheni udhalilishaji, yaani mnataka kuaminisha watu kwamba Dr. Slaa ameshikiwa akili zake na mamaa?Dr alivyotoswa kura za maoni za ubunge ccm akakimbilia chadema akapokelewa vizuri na muda Huo akapitishwa kugombea ubunge na akapata je amesahau ilo Lakin nasikia mchumba wake ndio mtata
UKWELI UTABAKI PALE PALE KWAMBA SIASA ZA MBOWE, ZA CASINO, ZIMEGONGA MWAMBA! GOD DOESN'T PLAY DICE!