Dr. Slaa ataka Sofia Simba ajiuzulu au awajibishwe

You really dont have to react that way at all.., also dont condem people without facts, argue with fact ,listen to the loud and stupid, they too have their story, what you have quoted above everyone knows about it, what we dont know is why she mentioned what she did, you could start from there, but vuta pumzi kwanza..kunywa maji pia...

Thanks mkuu,nimeshakunywa maji........

Please dont patronize me to know what SS did and how she did! we also know for sure that JK wont do anything. Let us focus on how to remove CCM from the power not on how SS is doing her job!
 
Kama wewe huna cha kusema wengine tutasema,

mwambie Dr. Slaa kama amesema hivyo amefulia, Sofia Simba hajiuzulu, wala JK hamfanyi chochote! wala serikali haijapata aibu, walichopitia miaka hii minne kama ingekuwa serikali ya ibu tungeijua! mwambie slaa mshipa wa aibu serikali ya JK haina!!

Yeye Slaa aangalie kuiondoa CCM na sio kujificha chini ya JK, anaposema hivyo ina maana JK ni safi, poa, mchapa kazi n.k

Sofia Simba ameonyesha uwezo wa CCM, Slaa badala ya kuchukua kama point ya kupatia kura anataka kujikomba! aache kujikomba kwa JK; kutaja jina la JK kuwawajibisha mawaziri aliowateua ni ujinga!!! mna hakika gani kama hakupitia huko state house na vyombo vya usalama kupata ushauri? kwani hawana sheria zao kuwa kabla ya mswada upitiwe? SS hana tatizo baba! ni sanamu robot lingine next to JK akiambiwa simama anasimama

nani kawaroga jamani?? JK has nothing to do in this country, JK alitaka ujiko tu wa urais hana analoliweza na hakuna atakaloliweza achilia mbali kumuwajibisha SS!!

Huyo slaa naye kama amesema hivyo ajiuzulu upinzani; I am sick and tired mentioning the name of JK as if he is innocent!

wapinzani my foot! JK akimchukulia hatua Sofia Simba si ndio anapata kura yeye! halafu mnasema kuna upinzani 'nji' hii

Wapinzani wa Tanzania ukiwasikiliza sana unaweza ukaugua ukichaa, wapole, wanajikomba, statement zao sio za kipinzani, they dont take opportunity, yaani wapinzani nchi hii ni kama mabaraza ya wazee wa CCM!! au tume fulani za bunge!
Ulipoanzia sikuwa nimekuelewa kabisa mkuu.
Ila mistari ilivyozidi kushuka ndo nikapata picha unazungumza nini.
Bravooo Wabero!!
Hizo ndo fikra za ccem na marobrt yao.

Kazi kwishaaa!!
 
Mfamaji,

..Wizara ya Utawala Bora[usalama wa taifa] iko chini ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri na Amiri Jeshi Mkuu.

..Sofia Simba ni Waziri wa Nchi ofisi ya Raisi Utawala Bora. kwa msingi huo Waziri Mhusika wa Wizara hiyo ni Raisi mwenyewe.

..kama mswaada huo una makosa mtu wa kwanza anayepaswa kuwajibishwa ni Waziri wa Utawala Bora, ambaye ni Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya hapo ndiyo afuatie Waziri wa Nchi ktk wizara hiyo.

..mswaada hata kama unasomeka kama umeandaliwa kwenye saloon, lakini kiutaratibu lazima ulipitiwa na kujadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, na baadaye Kamati ya husika ya Bunge. sasa katika hatua zote hizo kwanini wameshindwa kuuboresha?

NB:

..lawama kubwa kuhusu mswaada huu ni kwamba utampunguzia madaraka Raisi wa Jamhuri ktk masuala ya usalama wa taifa na ulinzi.

..kwa wale wanaoupinga mswaada huu naomba watupe sababu za msingi za madhara ya Raisi kupunguziwa madaraka hayo makubwa. ua pia wanaweza kutueleza manufaa ya kuendelea na mfumo tulionao sasa hivi.
 
This is a lesson that the MPs are not always on opposite sides when it comes to issues pertinent to our country. I think, we need a more balanced parliament in terms of opposition and the ruling party.

The Committee which prepared the bill may have not done their work thoroughly but again Hon. S.Simba must have taken the bill to the cabinet meeting before tabling it. How did it go through the cabinet which is chaired by His Excellency President of URT?

There may be a good motive for the bill but it was not well addressed or some flaws were left uncemented. This also send signals to the ministers to be well prepared for their bills before tabling to the parliament.
We unazungumzia kabinet gani?
Umeona kuna mtu yeyote makini katika kabinet ya Kikwete?
 
Kweli kuna vimeo lakini huyu kimeo cha juu kabisa mara apigane mara mipasho mara mswada usiokua na kichwa wala miguu akini JK KIMYAAAAAA!

Mnajua SS anampa JK nini kinachompagawisha JK? Mara nyingi ukishapagawa, chongo unaona kama kengeza, Busha utaona kama ni tumbo lililojitokeza kwa chini.....! Sisi tunamwona SS mbovu lakini kwa JK ni waziri booooora kuliko mawaziri wooooooooooote waliowahi kuwepo nji hii. Tutabwabwaja weeeeeeeeeeeeeeee matokeo yake mtasikia kwenye neksti kabineti mama amelamba u-piem!
 
Jasusi,

..hivi ktk mfumo wetu wa utawala, Mawaziri wa Nchi/Minister of State, wanahesabika kama Cabinet Members? kuna wanaofahamu mipaka ya kazi na madaraka ya Mawaziri wa Nchi?

..mimi naona swali hilo hapo juu ni lazima lifafanuliwe kwanza kabla ya kumtishwa lawama na kumsulubu Mama Sophia Simba.
 
Mfamaji,

..Wizara ya Utawala Bora[usalama wa taifa] iko chini ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri na Amiri Jeshi Mkuu.

..Sofia Simba ni Waziri wa Nchi ofisi ya Raisi Utawala Bora. kwa msingi huo Waziri Mhusika wa Wizara hiyo ni Raisi mwenyewe.

..kama mswaada huo una makosa mtu wa kwanza anayepaswa kuwajibishwa ni Waziri wa Utawala Bora, ambaye ni Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya hapo ndiyo afuatie Waziri wa Nchi ktk wizara hiyo.

..mswaada hata kama unasomeka kama umeandaliwa kwenye saloon, lakini kiutaratibu lazima ulipitiwa na kujadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, na baadaye Kamati ya husika ya Bunge. sasa katika hatua zote hizo kwanini wameshindwa kuuboresha?

NB:

..lawama kubwa kuhusu mswaada huu ni kwamba utampunguzia madaraka Raisi wa Jamhuri ktk masuala ya usalama wa taifa na ulinzi.

..kwa wale wanaoupinga mswaada huu naomba watupe sababu za msingi za madhara ya Raisi kupunguziwa madaraka hayo makubwa. ua pia wanaweza kutueleza manufaa ya kuendelea na mfumo tulionao sasa hivi.

Jokakuu,

Thanks a lot for your input; however, I would like to know what was in that proposed bill that irked members of parliament Frankly speaking, I am completely flabbergasted with Dr. Slaa's respond, I thought he would embrace this idea of keeping president's power in check. For so long, we have been complaining about the unchecked power vested on the president by our constitution. In addition, many scholars have also persuaded the parliament to amend the constitution in order to bring check and balance but to no avail. The mistake our politicians are making is to assume that every president will religiously follow the constitution . We are creating a big monster that one day will …..
 
you can say it again!
 
Simba hafai! Hafai napinga uteuz wake na kwa wale wasiojuwa zidin kumpenda but iman yangu hatorud tena ktk nafas ya uwazr. Mungu ibarik Tanzania
 
huyo mama hakuna lolote alifanyalo hapo toka apewe madaraka tena anawaabisha wanawake coz wanaonekana hawawezi kwani anapenda sana uswahili kila muda anafikiria ypo katika taarabu na kilicho mbele yake ni mipasho ona alivyoanzishaga bifu lisilokuwa na msingi baina yake na katibu wake kisa......................
 
Rufiji,Waberoya,Yebo Yebo,

..while discussing this bill, it is important that we deferentiate the proposals that were in the original bill as presented by Sophia Simba on behalf of the goverment, from the proposals that were made by the Parliamentary Committee.

..my understand is that, what is read b4 the parliament floor, is usually a compromise bill that has the inputs and proposals frm the government, members of Parliamentary committee, and other stake holders.

..I might be wrong, but i am very suspicious kama serikali ndiyo inayopendekeza Raisi apunguziwe madaraka ktk masuala ya usalama wa taifa. nahisi kipengele hicho kimetokea ktk kamati ya bunge.

TumainiEl, Ndundu,

..Sophia ni Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wanawake wa CCM. kutokana na nafasi hiyo ni Sophia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

..kutokana na uzito wake ndani ya CCM, siyo rahisi Sophia Simba akatupwa nje ya baraza la mawaziri, au bunge.mwenyekiti wa jumuiya wa wanawake aliyemtangulia alikuwa ni Anna Abdalah naye siku zote alikuwa ha-miss kwenye cabinet au bungeni.

..dawa ya tatizo hili ni kuiondoa CCM madarakani.
 
..mswaada hata kama unasomeka kama umeandaliwa kwenye saloon, lakini kiutaratibu lazima ulipitiwa na kujadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, na baadaye Kamati ya husika ya Bunge. sasa katika hatua zote hizo kwanini wameshindwa kuuboresha .

Naposikia vitu kama hivi, napata ghadhabu kubwa na nashawishika kuamini zile kauli za kashfa kwamba: Ukitaka kumficha kitu Mwafrica (sio wote), weka kitu hicho kwenye maandishi
 
Sure my friend ndani ya bunge angesema bila woga kuwa "nadhani wananchi wanaona bomu lingine la CCM, hawafikiri usalama wa nchi n.k"

ange-wablast CCM wote, hapo ndio angewasha moto mzuri, kwanza unawadharau chama chote wapigane huko huko, lakini huku umejiwekea credit kuwa 'you see chadema wazuri'' kuongea sentensi yoyote itakayoonyesha utatuzi wa tatizo hilo ni CCM ni kuweka upinzani mbali na wananchi!

CCM has to go! msiwapambe pambe na kuwatenga 'wasafi' na wachafu, woote kuanzia JK mpaka madiwani wao wachafu sina cha kulinganisha!

Endapo angesema hivyo mswada ungeungwa mkono na wabunge wote wa CCM na Kikwete angekuwa a hero...Raisi aliyejipunguzia madaraka yake mwenyewe,
na taifa lingepata taswira tofauti kabisa ya taswira ilijengeka sasa baada ya mswada huo kupingwa bungeni, na fahamu kuwa zaidi ya asilimia 90 ya watanzania hawajui na wala hawahitaji kujua mswada unazungumzia nini, the best they can do ni kusikiliza walioujadili bungeni wamesemaje kuhusu mswada huo na vyombo vya habari vimeandikaje kuhusu yaliyojiri, kisha mambo tambarare.

Kazi ni ngumu kiliko tunavyodhani, hiyo approach aliyoitumia ni nzuri kwa mazingira ya sasa, ni muhimu kwake kutojenga taswira ya kichama ili kutafuta uungwaji mkono wa wabunge wa CCM kwenye hoja za msingi, Pindi vyama vya upinzani vitakapokuwa na idadi ya wabunge inayoweza kuathiri maamuzi ya bunge, approach yako itakuwa ni nzuri zaidi lakini wakati huo bado.
 
Sielewi kwnaini msomaji wa mswada atakiwe kujiuzulu wakati walioutunga mswada huo wabakie hapo hapo. Kuundwa kwa Baraza la Usalama ni sera ya CCM; wamefanya majadiliano yao wao wenyewe ndani ya serikali katika kutekeleza sera hiyo na matokeo ndiyo hayo ya kuitungia sheria. Ili kuhakikisha kuwa sheria hiyo haipingani na Katiba Mwanasheria Mkuu na wanasheria wa Ikulu n.k wanaipitia n.k Ndiyo msomaji (waziri analetea kuijadili).

Sasa, wabunge wanayo haki ya kuhoji na kufanyia mabadiliko mswada huo kabla haujapitishwa na Bunge; kina Slaa, Ngwilizi, Malecela na wengine badala ya kuukataa tu walitakiwa wao wenyewe watoe maoni yao au mapendekezo ya mabadiliko (ammendments) ili uwe vile unavyopaswa na wabunge wajadiliane na upigiwe kura na wabunge wote.

Haitoshi kuukataa mswada na haitoshi kutaka SS awajibishwe. Dr. Slaa na Ngwilizi watunge mswada mbadala wa Baraza la Usalama wa Taifa kwani wanaruhusiwa kikatiba na wawashawishi wabunge wenzao kuuadopt huo na ikibidi ule wa serikali na wa kina slaa ipatanishwe na ndio waweza kupatikana mswada bora.

Kusema haufai haitoshi, pendekezeni unaofaa.
 
Wabunge nao hawajui kazi yao, hapo nakuunga mkono MM, wao waseme nini kifanyike katika huu muswaada na kama Sofia Simba hakufuata utaratibu wa kiutendaji ajuwe kwamba wabunge sio mizoga. Hawezi kurudia tena upuuzi kama huo.
 
Mimi nadhani tunadebate juu ya mbuzi aliyeko ndani ya gunia, nani haswa anao huu mswada aulete hapa tuone ni haswa kibaya alichokisema huyu Mama? Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni sioni kosa lolote alilofanya huyu mama, kazi ya bunge sio ku-rubber stamp kila kitu bali ni question maamuzi ya serikali n.k.
 
Back
Top Bottom